@mlinganya Sema wewe hukumuelewa asingehitaji mpaka iwe hivi mbona walimwaga vumbi Mzee hakua mswahili yeusi ili kua nyeusi kweli jamaa asingekiwepo sema kwa kua waliomtaitisha ni wenzake iwe ivyo sisi ni taka ila nyie waswahili acha mmalizane kwani hata malawi walikufateni.
@AllyHapi Tatizo liko sehemu zote mbili nlichojifunza Mimi mwanaume lazima uwe na maamuzi magumu beba begi suruali mbili anza upya kweli tumekua waoga mfano jamaa angekua na mwanamke mwingine kuko vizuri angebadirisha mtandao tu mwanaume Kila siku uko kwako hawapendi keep distance.
@mangekimambi Unajua hata wewe siyo wa kuami kama ambavyo humuamini mwenzako kwani wewe huna picha uliyo piga na Mather president tunaona kama wivu TU hakuna lolote tuwahamasishe vijana wafanye kazi badara ya kuhamasisha kumchukia mtu bira sababu
@Ntobi_@nchimbie Wajina kastaafu kwa lazima sema majina yetu haya ni watata mno tunahoji Kila kitu tusipopata majibu sahihi hatuishii hapo, mwenzetu pumzika badae ipo.