China imeweka na imeanza kuutekeleza kwa kiasi mpango wa kuwapa umaarufu wanasayansi wake kuwa watu mashuhuri wanaotambulika kitaifa, Hii itafanyika kwa kuweka picha zao kubwa kwenye skrini za matangazo ya umma badala ya matangazo ya biashara au Picha za Watu wengine Maarufu (Celebrities).
Katika majengo ya biashara na maeneo mbalimbali ya umma, picha za wanasayansi maarufu kama Qian Xuesen, mtaalamu wa sayansi ya roketi, Tu Youyou, mshindi wa Tuzo ya Nobel, na Yuan Longping, mwanasayansi aliyefanya tafiti muhimu katika kilimo, zinaonyeshwa katika mabango makubwa.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, utaratibu huu ulianza katika mkoa wa Shandong kabla ya kuenea katika maeneo mengine ya China.
Ujumbe unaotolewa ni wazi: Wanasayansi wanaochangia kubadilisha dunia wanastahili kutambuliwa na kuheshimiwa kama waigizaji, wanamichezo na watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii.
This is the best news kwa maandamano. Sijui hata kwanini watu walitaka Afcon iondolewe.
Watanzania , hii nafasi ni kama ile nafasi tuliyoipata siku ya uchaguzi.
Moja ya sababu iliyofanya maandamano yakafanyika siku ya uchaguzi ni sababu n ilibidi waondoe mabunduki na magari ya kutisha barabarani ili watu watoke wakapige kura,same thing na Afcon, kutakuwa na wageni kutoka Africa nzima lazma waondoe mabunduki, askari na vitisho vyote lazma vikome ili wageni na wa nchi za nje waweze kutoka waende mpirani. Vitisho vyovyote wakitoa au wakijaza askari hakuna mgeni atatoka hotelini.
Jamani siku ya mechi ya kwanza ya Afcon Tz, hakuna mtu kukaaa ndani.
Kwanza hawatoweza kuzima internet, pili hawawezi kupiga watu risasi maana itabidi wawapige risasi mpaka wageni waliokuja TZ. Hawawezi kuzima internet maana itakuwa world news.
Kwanza wageni karibia wote watakuwa na rangi kama zetu, hawatojua mgeni yupo Mtanzania yupi, so ile ya kupiga tu risasi mtaani watashindwa.
Tusipotumia AFCON kujikomboa hakuna nafasi ingine itakuja ambayo hatuwezi kupigwa risasi, kuzimiwa internet, wala kujaziwa askari barabarani.
Na wakijaza tu askari barabarani basi na mood yoote ya afcon itafia hapo hapo, na wageni walioko TZ ndo wata tweet na kupiga picha na kusambaza kwenyw social media mpaka dunia nzima ione.
NI LAZMA TUPAMBANAE HII SIKU!!!!
Maaandalizi makubwa yaanze on the ground. Mobilization ianze kufanyika.
THIS IS OUR CHANCE!!!
Ameanza kutishia kuita press tokea weekend. Rudini kwenye posti zangu za jana. Niliwaambia tokea jana kuwa the whole weekend alikuwa anawatishia watu wa Chadema kuwa anaita press kusambaratisha wananchi na chama.
Kabla hata sijatoa story zake za asali jana tayari alikuwa ameshatishia kuita press ili awakoroge watu.
Na nna mengine ya biashara yake mpya nilitaka kuwapa asubuhi hii ila naomba nisubiri kwanza hiyo press yake nione kama ata address hii biashara yake ambayo amewajibu watu wa CHADEMA this weekend “NI biashara yangu binafsi, haihusiani na chama”.
Aanze hiyo press kwa kuia-dress hii biashara kabla mimi sijaja kuwapa hii issue.
Na pia kwenye hiyo press aambie umma kuhusu mkutano wa online uliofanyika weekend na speech aliyotoa ya tuhuma kali na chuki dhidi ya Heche. Alitafutwa mpaka padre wa TEC kuwapatanisha Heche na Lema, Lema akatoka kwenye mkutano after 45 mins akawaacha solemba baada ya kusema kuwa Heche sio level zake.
Nina full details. Nataka nione what he will address and what he will leave out kwenye hiyo press. Then nije kuwa fill in what he left out.
Na issue ya kuishi sea cliff, sio 2 months, it’s 3 months sasa,Na anakaa same floor na kaka na dada wa Lissu. The whole of Tz knows Lissu shingi 100 hana, sasa WHO IS PAYING FOR FAMILIA YA LISSU KUISHI SEA CLIFF???? WHO IS PAYING FOR LEMA KUISHI SEA CLIFF FOR 3 months now? He better address this kwenye hiyo press.
Wamewaweka familia ya Lissu sea cliff, under uangalizi wa Lema ili Lema ahakikishe hakuna watu wengine wanaongea nao na pia awarubuni jinsi ya kumshawishi ndugu yao abadilishe dhamira yake ya kukaa jela mpaka haki ipatikane. Wanaitumia familia yake kumshawishi aokoe maisha yake kwa kwenda kufanya maridhiano na muuaji wa Watanganyika au kama hataki kabisa kufanya maridhiano basi aachiwe then ahame nchi aache siasa, then kila kitu kitakuwa taken care of for the rest of his life.
Issue ni dipu…………
KUNA BONGE LA PHONE CALL NIMEPATA DAKIKA HII. NIKIAMKA ASUBUHI CHA KWANZA NI VIDEO………
NAOMBA WANANCHI TUSIICHIKIE KWANZA CHADEMA. MAMBO NI DIPU KULIKO TUNAVYODHANI….
See you asubuhi!!!
Kwa kuwaongezea, Lema alikuwa anachat na Nchimbi muda wote. Na maongezi yake na Nchimbie yalitumika kwenye kamati ya maadili. Lema alimuuza Nchimbi.
Ukisoma hizi posti kwa kutulia utaona Lema anacheza team gani kwa sasa.
Kiongozi yoyote huko CCM ambae unachat na Lema, we jua kina Abdul message zako zote wanazo…….
Sema mkuu hapa alikuwa anatoa code kali sana katiba mpya ipatikane inaonekana alikuwa hawezi hata kuagiza mtu hii sio script aiisee nchimbi alikuwa busy kukomboa taifa liwe katika misingi yake👇👇
1. GEN Z, LEO MMEKUWA VINDICATED! Mpaka wazee sasa wamejoin movement yenu ya kudai haki………
2. Kama hali hii itaendelea Tanzania basi nawahakikishia ndani ya 5-10 years itaibuka armed group Tanzania. Historia inakwambia hili……
3. Jeshi la JWTZ, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA - VIMETEKWA KAMA CCM ilivyotekwa……