#TajiriLaKihaya
Mm ndio maana nlishasema Hakuna binti yangu atakae kanyaga Chuo kikuu…
Vyuo vinaongoza kuzalisha malaya… wanawake wenye hawana adabu wala aibu… mabinti walevi… wavuta bangi na shisha…ma single mother…WASIMBE…
Mm na mabinti wanne - in sha allah wakimaliza form four kila mmoja nitampa 200m mtaji aanze biashara na aolewe- watulie kwenye ndoa zao!
Akitaka kuendelea na masomo aendelee akiwa kwa mumewe kama ataridhia…
Vyuo vikuu vyetu hapana kwa kweli…
Unajua binti yako anasoma… kumbe anaishi na mwanaume pika pakua! Si bora aolewe tu halali!
@Thommunkondya Yanaweza kufanyika yote na mifumo bado ikatukataa, bado kuna namna wadosi walio kwenye mifumo hawaamini vijana tunaweza kusukuma gurudumu vizuri