Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi shupavu, mzalendo, mwenye maono ya kimkakati na ya kimapinduzi.
Dkt. Samia ameyasema hayo hii leo wakati akizungumza na Wananchi wa Chato Mkoani Geita ambapo amesema kuwa Dkt. Magufuli alikuwa Mwalimu wake bora na ndio maana miradi maendeleo aliyoiacha ameweza kuikamilisha kwa sababu alimfundisha namna bora ya kwenda kuitekeleza miradi hiyo na ameitaja baadhi ya miradi hiyo kama vile Bwawa la Mwalimu Nyerere, Daraja la Kigongo Busisi, Reli ya SGR, bomba la mafuta Kuihamisha Serikali mjini Dodoma ambapo hivi sasa Mahakama iko Dodoma pamoja na miradi mingine mingi.
“Nimefurahi nimefika kituo hichi na nimepata zawadi ya kumpokea mdogo wangu wenje ambaye tumempokea hapa leo, nimefurahi sana nimwambie tu karibu CCM, karibu nyumbani kwenu kwa hiyo tumempokea, Chato ni nyumbani kwa mpendwa wetu, kaka yangu Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Nyie wote mtakubaliana nami kuwa Dkt. Magufuli alikuwa kiongozi shupavu, mzalendo na mwenye maono ya kimkakati na ya kimapinduzi.” Amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#MillardAyoUPDATES
@JamiiForums Nakumbuka viazi fresh kule nyumbani kwetu
Kumbe nilikuwa nakula bila kujua manufaa yake mwilini wmwangu sasa nitarudi nyumbani maana huku dar viazi vitamu hata sivielewi kabisaaa
@CloudsMediaLive Lakini nakuomba Acha kuhangaika kutafuta wazazi wa dunia hii mtafute Mungu mimi pia sina wazazi lakini nina Mungu
Huyu Mungu ni mzazi asiyekufa wala hatelekezi watoto ninafurahi kuwa na mzazi huyu
Salim Acha kulia Mungu yupo bado hajafa
@IAMartin_@ChademaTz Msipoteze muda wapendwa
Jiungeni na jeshi la Mungu ili mpate kuokolewa dunia itapita na mambo yake yote changamkia uzima wa milele