@BBCWorld Sometimes it feels like Big Pharma and imperial powers could be deliberately allowing new Ebola strains to emerge in the DRC so they can use vulnerable populations as testing grounds for new vaccines and treatments
@bbcswahili Ukoloni wa Marekani. Ukoloni mambo leo unafanywa kupitia bishara na mikataba ya kinyonyaji kwa hisani ya viongozi wazawa ambao ni vibaraka wa mabeberu.
@Benji_Fernandes This is a strong idea that the government could implement by creating a digital marketplace for selling land and homes. Sellers would register with verified identification and proof of ownership, reducing matapeli while enabling better regulation and tax collection on sales.
@JamiiForums Serikali kuingilia kati sio suluhu, tena ni jambo la hatari. Suluhu ni kuendeleza vita dhidi ya ujinga na umasikini. Kwenye jamii iliyoelimika na yenye unafuu wa kiuchumi biashara ya ‘miujiza’ inakufa kifo cha asili.
@Francis78698411@BabaMwita@MariaSTsehai The Tanzania Citizenship Act (kifungu cha 4 & 5). Ukishakubali uraia wa nchi nyingine automatically unapoteza uraia wa Tanzania.
Hilo la kuukana uraia linawahusu wanaoamua kuukana urai kwa hiyari yao na sababu zao binafsi
Each year we receive significantly less applications from women. Please listen to Olive’s message. Women who meet the eligibility criteria, please apply via https://t.co/AYxT79dF5Y.
#WomenSupportingWomen The University of Manchester https://t.co/VUg58FJOE6 via @FacebookWatch