@EliabuDanford Hii Dunia ina watu wengi sana kila mmoja ana imani yake..Maisha ya mwanadamu Tana mabonde mengi sana.kama kweli uponyaji Upo kwanini huwa hamuendi pale Muhimbili kuna watu wanatafuta nafuu kwa namna yoyote ile?nendeni pale Mtoe huduma ili watu wapumzike maumivu.
Hakuna miaka mingi mbele kutoka leo. Pombe inatengeneza janga ambalo wengi hawalioni. Ikiwa mwenendo wa sasa utaendelea, itaua watu wengi zaidi, kuvunja familia nyingi zaidi, na kuchochea kuporomoka kwa maadili ya jamii kwa kiwango ambacho kitakuwa tishio kubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Inatisha sana.
Unakumbuka kuna nyakati ulikutana na situations ambazo zikikufanya uishi kwa wasiwasi, aibu, fedhaha na kutojiamini?
Nyakati hizo si zilipita?
Na nyingine zitakuja tena, always stand your ground.
Hakuna nyakati zinazudumu, usikubali kutawaliwa na hofu au fedhaha.
@MarekaMalili Ukikubaliana hali uliyonayo unaishi kwa amani..ila ukitaka kuficha haki yako unajimbia kaburi kimyakimya..watu wengi sana wanapotea kwasababu huwa hawataki kukubali maisha huwa yanabadirika.
@FatmahShokat Sehemu yoyote yenye mzunguko wa pesa nyingi huwa ni red flag..🚩 kwa Kunguru kama mimi nifika sehemu kama hizo huwa nauambia moyo tulia kabisa 😁