Land preparation, seed sowing, tractor schedule services and maintanance, post harvesting processing, design of all irrigation, farm steady structure design
@greenagrictz Yaani hapo utakuta kaweka na tank yake mita 2 kwenye kajumba ka tofauri, uhalisia maji yatakuwa hayaendi popote hapo labda angefunga gate valve ili aruhusu Bomba moja moja kutoka kwa Bomba main, Ila hata hvyo sio sahihi, weka Bomba kubwa iende kwenye Bomba dogo
@greenagrictz Hii inatokea kwa wakulima Sasa ivi wanaona hizi kazi nirahisi na kumpa engineer anaona kama anapoteza hela nyingi anakwema kuwapa mafundi Bomba wafanye kazi na kwenda kununua material mwenywe bila kujua Kuna utaalamu, kuangalia tu hapo Bomba za size moja no pressure distribution
The Tanzania Investment Centre (TIC) together with investment & business stakeholders in the country met with the delegation from the National Agency for Promotion of Investments, (ANAPI) from the DRC in Dar es Salaam & discussed trade &investment opportunities in🇹🇿 & 🇨🇩
Ndani ya Hoteli ya Dodoma kushiriki Mkutano wa Programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) Kwa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayo fanya kazi na Vijana katika sekta ya Kilimo. Machi 13-14,2023 . MGENI RASMI: Mh. Hussein M. Bashe (MB), Waziri wa Kilimo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mrutu Agro-Solutions Company Limited, Uongozi mzima na Wafanyakazi tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati Kwa wadau mbalimbali ikiwemo serikali, taasisi binafsi zilizopo kwenye mnyororo mzima wa thamani, wakulima, wafugaji na wadau wengine wote wa Kilimo.
Ni jumatatu nyingne M/mungu ni mkubwa tuamke tukapambane.kumbuka uendako
1. Kila atakayekuja ofisini Leo au sehemu zetu za kutafuta ujue Kuna mazito au changamoto alizopata katika week tuwe wajanja na wavumilivu katika maneno yetu na wagunduzi @MalemboLE@SadickTusia @mac_dika
Ewe Kijana Amka kumekucha,ni Aibu roho kukata tamaa wakati mwili wako bado una nguvu.” Uzee wenye umaskini mwingi una mateso makali kuliko ujana wenye kujiunda kila siku. #KilimoNiAjira
—@MalemboLE