Real-life chronicles ⚛️ Plumbing coz I lay pipes🧑🔧... IGNORANCE IS BLISS 🧘 If your soul and heart is in EFFORT,Then no one can mislead you expect yourself.
Ukiwa mkale na uishi side za Embakasi na hujaoa ni hivo.Kina Mwende watakupea Children's home ingine inaslide ukimaliza raundi mbili unaskia umefungana maskio.
Ukienda nyumbani leave ama holiday huwezi maliza siku tatu ju pia Mueni anakuwekea view once unaona Ilara ikiteremka and Ayam telling you ukiambiwa Mbona hujaoa unaona baba yako akiwa mtu bladifuckin sana.
Hapo sasa mshahara yako inaishia kwa school fee ya kipii wa Mwende alizalishwa na Musa Katombi uko na Tseikuru na akatoroka. At this point watu wa kwenu wanangojanga tu kifo ikupeleke nyumbani ju Mwende ashapeleka picha yako kwa nyanya yake ilaliwe na nyoka uko Kathonzweni.