The Cavaliers win Game 7 on the road and advance to the Eastern Conference Finals for the first time since 2018!
They will take on the Knicks in the ECF.
NBA Conference Finals presented by @Google
FEAR. THE. BEARD. 🔥
James Harden is the first Cavs player with 30+ PTS, 5+ REB, 5+ AST & 3+ BLK in a playoff game since LeBron James did it in Game 6 of the 2016 NBA Finals vs. the Warriors.
“The Night Agent” has been renewed for Season 4, which will shoot in Los Angeles.
“It’s been a wild ride filming ‘The Night Agent’ in five countries across three continents to this point and we’re so thrilled that the adventures of Peter Sutherland will continue into Season 4,” said creator, executive producer and showrunner Shawn Ryan. “Our writers, our cast and our crew stand ready to answer the call to bring our incredible fans even more twists, turns and thrills."
https://t.co/F775iYBHWo
Dr Samia Suluhu Hassan Wins Transformation Leader of the Year in the 2025 Serengeti Awards for her role in transforming Tourism
and Conservation in Tanzania!🙏🏻🙏🏻🇹🇿
Hotuba ya Rais Samia Katika Ufunguzi wa Bunge la 13
1. Wizara Mpya ya Vijana & Ushauri Ikulu
• Serikali inaanzisha Wizara kamili ya Vijana ili kuratibu kikamilifu maendeleo, fursa na ajira za vijana.
• Rais atakuwa na Washauri Maalum wa Vijana katika Ofisi ya Rais ili kuhakikisha masuala ya vijana yanapata kipaumbele cha juu katika maamuzi ya serikali.
• Hatua hii inajibu uhalisia kuwa zaidi ya 60% ya Watanzania ni vijana.
2. Amani, Maridhiano na Uchaguzi
• Pole na heshima kwa waliopoteza maisha kwenye vurugu za uchaguzi; Tume ya Uchunguzi imeundwa.
• Wito wa umoja wa kitaifa, kuepuka uchochezi na kujifunza kutokana na yaliyotokea.
• Serikali kuendeleza falsafa ya maridhiano, ikiwemo kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya.
3. Bunge Jipya & Uwajibikaji
• Asilimia 56.7 ya Wabunge ni wapya, na idadi ya wanawake imeongezeka kwa kiwango kikubwa.
• Wito wa kusimamia maslahi ya wananchi na kutoa ushirikiano kwa serikali.
4. Ajenda ya Uchumi 2025–2030
• Lengo la kukuza uchumi hadi zaidi ya 7% ifikapo 2030.
• Utekelezaji wa Dira ya Maendeleo 2025–2050.
• Kipaumbele kwa sekta kuu: kilimo, viwanda, utalii, ujenzi, madini, mifugo, uvuvi, TEHAMA.
5. Ahadi za Siku 100
• Ajira mpya: Walimu 7,000 na Watumishi wa afya 5,000.
• Kuanza majaribio ya Bima ya Afya kwa Wote.
• Kukomesha “kadhia ya maiti kuzuiliwa hospitalini”.
• TZS Bilioni 200 kwa vijana & wanawake + kuanzishwa kwa Madirisha ya Uwekezaji kwa Vijana.
6. Huduma za Jamii
• Maji: Lengo kufikia 100% nchi nzima, kukamilisha gridi ya taifa ya maji.
• Afya: Kuboresha hospitali za rufaa, kujenga hospitali ya magonjwa ya mlipuko (Kagera), kuongeza uzalishaji wa dawa.
• Elimu: Mageuzi ya elimu ujuzi, kuimarisha STEM, kupanua VETA, kuongeza mikopo ya elimu ya juu.
7. Kilimo, Mifugo na Uvuvi
• Kilimo kukua hadi 10% ifikapo 2030.
• Umwagiliaji kuongezeka hadi ekari milioni 5.
• Upanuzi wa masoko ya mazao ndani na nje ya nchi.
• Ufugaji wa kisasa, kuboresha malisho na soko la mazao ya mifugo.
• Bandari za uvuvi Kilwa & Bagamoyo + uwekezaji mkubwa kwenye ufugaji samaki.
8. Viwanda & Uwekezaji
• Kasi ya ukuaji wa viwanda kufikia 9% kwa mwaka.
• Kuendeleza kongani: Kwala, Buzwagi, Bagamoyo + kongani mpya kila wilaya.
• Kufufua viwanda vilivyotelekezwa kwa kushirikisha ushirika.
9. Madini
• Kukamilisha Mkakati wa Critical Minerals.
• Benki Kuu kuendelea kununua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo.
• Kiwanda cha kuchenjua madini kufikia 2030.
• Kuanzisha Minerals Sovereign Wealth Fund kwa vizazi vijavyo.
10. Miundombinu ya Usafiri & Nishati
• Kukamilisha SGR yote + reli mpya Tanga–Musoma na Mtwara–Mbamba Bay.
• Barabara za juu Dar: Morocco, Mwenge, Magomeni, Tabata.
• Umeme kufikia MW 8,000, gridi kufika mikoa yote.
• Mradi wa gesi asilia wa USD 42bn kukamilisha majadiliano.
11. Utalii, Utamaduni & Michezo
• Lengo la kufikia watalii milioni 8.
• Kujenga studio za kisasa, ukumbi wa maonyesho na kukuza filamu, muziki na sanaa.
• Sports academies + maandalizi ya AFCON 2027.
12. Utawala wa Sheria & Uadilifu
• Kuimarisha mapambano dhidi ya rushwa, ufisadi na uzembe.
• Maboresho ya Mahakama na taasisi za haki jinai.
• Kutoa tafsiri ya sheria zote kwa Kiswahili.
• Mashirika ya umma kulenga kuchangia 10% ya mapato yasiyo ya kodi.
13. Diplomasia & Usalama
• Kuendeleza sera ya kutofungamana na upande wowote; kuongeza marafiki wa kimataifa.
• Kuimarisha vyombo vya ulinzi na kuendelea kuchangia misheni za kimataifa.