Tatizo la background ya umaskini ni kwamba, hao watoto wa kishua wanaopewa billion kwenye harusi huwez kukutana nao shule ulizoma, makanisa unayoenda wala kwenye cycle yako yoyote ile.
Wewe ligi yako ni kulipa mahari kwa installments huko chaka to chaka.😀
Tuliusikia huu wimbo wakati hatuna Majukumu na ukiusikiliza sasa hivi wakati tuna majukumu Hisia zake ni zilezile.
CHA KALE DHAHABU
Hiyo sehemu ya ukicheki check check ilikuwa sehemu yangu pendwa kwenye Video 😂😂
Hivi hua mnaelewa nini kuhusu neno talent? au kua talented?
Ndo hua mnadanganyana vivi hivi kuhusu CR7 na Messi kwamba Messi mpira kipaji alafu CR7 mazoezi🚮😂
NB:Tofauti ni aina ya uchezaji
Kafanye na wewe mazoezi kama utakua kama CR7 mamae.
Kabla hujamwambia mtoto "HUWEZI " jiulize kama unamfundisha ukweli au unamwekea mipaka ambayo si yake. Watoto hukua wakiamini maneno wanayoambiwa mara kwa mara.
Watanzania walitaka namba ya MAKAMU HECHE ili wamtumie PESA kama kumuunga mkono kipindi hiki kigumu.
MAKAMU HECHE kaamua kuomba watanzania wachangie CHAMA-Chama kina jukumu zito ndani ya huu mwezi mmoja kuitisha BARAZA KUU LA CHAMA.
Baraza kuu la CHAMA linakuja kufanya maamuzi MAZITO juu ya haya mambo mawili.
1. KATIBA MPYA.
2. FREE TUNDU LISSU.
Jumla MILIONI 330 inatakiwa-Kufanikisha hili BARAZA KUU. Weka mchango wako kwenye account rasmi za CHAMA.
Voda (MPESA): 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
Repost 500
Timu ya taifa ya Egypt imepokelewa kishujaa na maelfu ya watu nchini kwao. Mara ya kwanza Egypt kushiriki World Cup ilikuwa mwaka 1934, tena ilikuwa timu ya kwanza ya Afrika kushiriki, lakini ilikuwa haijawahi kushinda mechi ya World cup. Mwaka huu wameshinda na wamefika mbali.
Huyu dada wa Kyela FM anatakiwa aje mjini, head hunters wa radio kubwa fanyeni namna.
Alinipigia verse moja ya Chid Benz na ile ya Dizasta ilikuwa noma kabisa.
Consistency ya Mashahidi Wa Yehova🙌🙌
Hawa jamaa wakiamua kukuhubiria Injili hawachekeshi..
Picha linaanza wanakupiga ofa ya mavitabu fulani hivi ya mambo ya wokovu..
Sasa omba wasipajue unapoishi😁😁Lazima wakutembelee kukuhubiria neno.
Hawa jamaa kazi yao ya kitume kweli kweli Mungu awabariki🙌
Kinachowatokea stad-up comedians ndio kinachowatokeaga pia wanamuziki.
Watu wetu wa karibu/Circle Yetu/Marafiki/Wapenzi na familia zetu.
wanatudanganya sana!!
Comedians wakiandika Jokes, kabla hawajazipeleka kwa audience/fans
huwa wanaziTest kwa hao niliowataja hapo juu👆 watu wao wa karibu, ili kupima kama zinachekesha!?
Mara nyingi hawa watu wa karibu hucheka😁😁 tena wengine huenda mbali zaidi, wanacheka hadi wanaanguka au kutokwa machozi!😁
Hii inamfanya comedian aamini kaua mbaya na joke yake ni kali!
Lakini the same joke akiifikisha kwa fans siku ya show anashangaa raia wanakula kigae😁
Hii inawavurugaga sana wanangu, mtu anajiuliza hii mbona jana maskani ilichekesha!!
Wanamuziki wakimaliza kurekodi studio, kwanza pale pale studio goma linaweza lia kama mara mia hivi…muwa umewekwa repeat kila mtu anasema hii HIT hii ikitoka watatafutana watu!!
Mwanamuziki ataskilizisha demo kwa circle yake, na kila mwanae atamwambia kali sanaaa iachie!!
Lakini akija kuitoa ngoma raia wanaikataa na kuanza kuikosoa au kuignore!!
#NB
#WWWKNW
Watu wetu wa karibu ndio wachawi!!