Every digital device runs on an #OS ๐ป๐ฑ
Whether it's #Linux or Windows, knowing how operating systems work is huge in the world of #tech! ๐ฅ Build your skill set right here: https://t.co/vpyWHs6NmN
๐คMashuhuda Wanasema Dereva wa Prado ni kama alilala akaifata TATA..
.
Mkuu wa wilaya ya Same anasema madereva waongeze umakini hasa kipindi hiki cha sikukuu..
.
Anaendelea kusema madereva huwa wanajisahau wakiwa barabarani..
.
NI kama anataka kumpiga Mkurugenzi mawe ila ๐
Nimenusurika na ajali mbaya ya boda sijaumia mimi wala boda ila nilikuwa natetemeka hadi miguu inaishiwa nguvu๐
Kuamka salama ni jambo moja kulala ukiwa salama ni jambo jingine. Turejeshwe majumbani salama๐
Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema imepokea maombi ya leseni chini ya mfumo wa leseni kutaniko kutoka kwa Waombaji watatu wakiwemo Starlink Satellite Tanzania Limited kampuni inayomilikiwa na Tajiri namba moja Duniani ambaye ni Boss wa Makampuni ya SpaceX, Tesla na X (zamani Twitter), Elon Musk, ambaye ameomba leseni ya kitaifa ya miundombinu na leseni ya kitaifa ya huduma ya mifumo tumizi na kwenye taarifa hiyo Wanahisa wa kampuni hiyo wanatajwa kuwa ni Starlink Holdings Netherlands B.V na SpaceX Netherlands B.V.
Taarifa iliyotolewa leo November 15,2024 na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Jabir Bakari, imesema โKwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kieletroniki na Posta, Sura 306 ya sheria za Tanzania, maoni ya kimaandishi yanakaribishwa kutoka kwa yeyote kuhusiana na utoaji wa leseni kwa waombaji yafike TCRA ndani ya siku 14 tangu siku ya kutoka tangazo hili, maoni yatakayopokelewa yatazingatiwa na TCRA itakapokuwa inayafanyia kazi ombi hiliโ
Itakumbukwa February 24,2024 aliyekuwa Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye alisema Serikali ya Tanzania imeshatoa majibu kwa kampuni ya Starlink na vikao vinaendelea ili wakamilishe documents na waruhusiwe kuanza huduma zao Tanzania na kusema hakuna ukweli kwamba Starlink wanahujumiwa.
Waziri Nape alitoa kauli hiyo baada ya Elon Musk kusema kilichobaki kwenye mpango wake wa kuuleta mradi wa Starlink Tanzania ni kibali tu kutoka kwenye Serikali ya Tanzania ambapo Nape alinukuliwa akisema "Nchi ina sheria katika kusajili Watoa huduma za mawasiliano, Starlink walijaza maombi yao November mwaka jana na kuna vikao vilfanyika, ndio maana Elon alipotweet nikasema nadhani unakumbuka Mamlaka za Tanzania zilikutaka tume document na vikao vinaendelea, sisi kama Wasimamizi wa Sekta wakikamilisha document zao wanapewa tu kibali"
"Nashangaa Watanzania wanakuja juu 'unajua huyu kapewa hela, huyu kafanya hivi, wanataka kumuhujumu (Elon), huyu kafanya vile', Mimi nadhani sio sawa, kasema hadharani sisi tumesema hadharani, na kuna vikao vinaendelea, wakikamilisha wataruhusiwa hatuna sababu ya kuwazuia"
#MillardAyoUPDATES
Here's a throwback post from one of our students, Muhammad Adnan Muneam ๐
He shared with us his awesome #CiscoPacketTracer scenario! ๐
Try your hand at it here ๐
https://t.co/fFuo77QyXW
Hembu angalieni mwonekano wa Tz na Kenya Royal Class kwa ndani
Tanzania Tumepigwa na Kitu kizjto aisee ๐๐๐๐๐๐
KKwamba tunauza Speed Tu, kwenye Royal class?
U-royality tunawaachia wakenya ๐๐๐๐
Embu angalia tulivyochakazwa...๐ญ
Video kwa Comments๐
@RMCF_Jude "The winner might not be the one who truly deserved it, and honestly, this award lost its credibility back in 2018 when Ronaldo didnโt win it."
Zinedine Zidane ๐ซ๐ท Didn't Hold Back on Ballon d'Or Winner ๐ณ
๐๏ธ Reporter: Zinedine, with Rodri reportedly winning the Ballon d'Or over Vinicius Jr., whatโs your reaction?
๐ซ๐ท Zidane: (smiling) Well, itโs quite surprising.
๐๏ธ Reporter: Can you explain further?
๐ซ๐ท Zidane: If we look at this year's performances, Vinicius has truly excelled. He deserves recognition for his hard work and talent. The winner might not be the one who truly deserved it, and honestly, this award lost its credibility back in 2018 when Ronaldo didnโt win it.
#BallonDor