Dogo Pattern 🗣️.
" Tiketi zilikua Sold out za show lakiniTulizuiliwa pale Airport kuingia china kwa sababu ya Lugha hatukuweza kuelewana kwa sababu wao walikua wanaongea kichina na pia nadhani walituona labda majunk kwahiy ilibidi turudi tu hatukua na namna"
--------------------
Jamani Tusomeni Jamani 😂🙌
Kuna mwanangu akiweka hela nyingi kwa wakala wa bank kile kipengele cha namba ya simu kwaajili ya notification, anawekaga za watu asio wapenda hasa EXs, wawe wanashtuka meseji ya hela nyingi iende kwao wajue kuna mtu kakosea muhamala😂😂
Duo ya Singida na Musoma ni Ugali moto Mboga moto haijawahi kutokea Tanzania,,, imagine mtu kabanana Behind Bars hadi leo wala hawazi na hamna kuleta unyonge
M/kiti Bendera Chuma,,, Makamu Mlingoti Chuma lazima uteme Bungo 😂😂😂
Hii Story Ya Kujilipia Mahari Imenikumbusha Beste Yangu Mmoja Alijilipia Nauli Kumfuata Bebe Yake Songea. Kumbe Bwashee Ana Mchepuko Na Amezaa Nao. Siku Mchepuko Unakuja Kufanya Vurugu Alimwambia "Kwanza Ukitaka Kujua Bwana Hakutaki Nauli Ya Kuja Huku Umejilipia". Best
Haya Maisha Bana Unajua Kuna watu wanakuonyesha Njia Ukipata Pa kwenda Aisee geuka Nyuma Shukuru na Ukiondoka Kwao ondoka Vizuri haya maisha Ni kitendawili sana.
Blue Monday.........
Good Morning brother and Sister