Ipo siku Mungu atakupa watu wameambiwa kila kitu kuhusu wewe lakini hawatakuacha na watakukubali na kukupenda na kukupokea jinsi ulivyo.
Usiogope, Usiwe mnyonge..JIAMINI🙏
Hoja ya Kupinga Tamko la Serikali kuhusu Makala ya BBC Africa Eye
Na Rev Peter Simon Msigwa
Tamko la Serikali linaibua maswali muhimu kuhusu namna nchi ya kidemokrasia inavyopaswa kushughulikia tuhuma nzito zinazotolewa dhidi yake.
Kwanza, ikiwa Serikali inaamini makala hiyo ina makosa ya ukweli, njia bora si kutishia kuchukua hatua dhidi ya chombo cha habari, bali ni kujibu hoja kwa hoja na ushahidi kwa ushahidi. Ukweli hauhitaji kulindwa kwa vitisho; unahitaji kuthibitishwa kwa vielelezo vinavyoweza kuchunguzwa na umma.
Pili, Serikali inasema BBC haikutoa nafasi ya kutosha kwa upande wake kujibu. Ikiwa hilo ni kweli, basi Serikali ina haki ya kueleza ni lini iliombwa maoni, ni maelezo gani iliyatoa, na ni sehemu zipi ambazo haikuridhika nazo. Hata hivyo, hoja hiyo pekee haiondoi wajibu wa kujibu tuhuma zilizomo kwenye makala yenyewe.
Tatu, kauli kwamba Serikali “itachukua hatua za kulinda heshima ya nchi dhidi ya mashambulizi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii” inaweza kutafsiriwa kama ishara ya kutishia uhuru wa vyombo vya habari. Heshima ya taifa hailindwi kwa kuzuia uchunguzi wa waandishi wa habari; inalindwa kwa kuhakikisha taasisi za dola zinawajibika, sheria zinaheshimiwa, na madai yoyote yanayohusu ukiukwaji wa haki za binadamu yanachunguzwa kwa uwazi.
Nne, Serikali imeelekeza nguvu nyingi katika kuhoji BBC kuliko kujibu tuhuma zilizowasilishwa. Wananchi wanahitaji majibu kuhusu madai yaliyotolewa, si mjadala kuhusu nani aliyaripoti. Kinachopaswa kujadiliwa ni ukweli wa yaliyomo kwenye makala, si utambulisho wa mtoa taarifa.
Tano, katika demokrasia zilizo imara, uchunguzi wa vyombo vya habari hauchukuliwi kama shambulio dhidi ya taifa bali kama fursa ya kuboresha uwajibikaji. Serikali yenye kujiamini hujibu kwa uwazi, huruhusu uchunguzi huru, na ikiwa madai si ya kweli, ushahidi huonyesha hivyo.
Watanzania wana haki ya kupata taarifa kutoka pande zote. Vivyo hivyo, Serikali ina haki ya kujibu. Lakini haki ya Serikali kujibu haiwezi kuwa sababu ya kuzuia au kutisha vyombo vya habari vinavyoibua maswali kuhusu maslahi ya umma.
Mwisho, heshima ya Tanzania duniani haitajengwa kwa kupinga kila taarifa ya uchunguzi. Itajengwa kwa kuonyesha kwamba nchi ina taasisi zinazoweza kuchunguza madai kwa uhuru, kuwawajibisha wanaokosea bila kujali nyadhifa zao, na kulinda haki za wananchi pamoja na uhuru wa vyombo vya habari. Huo ndio msingi wa taifa lenye nguvu na linaloaminika kimataifa.
I think some people are trying to portray @TunduALissu as a much bigger political figure than the evidence suggests.
In the 2020 presidential election, he received about 10% of the vote.
Even in his own party’s leadership contest, many delegates did not support him.
Yet the BBC continues to portray him as if he were Tanzania’s unrivaled political force. Political influence should be measured by facts and public support not media narratives.
@HildaNewton21 Na kwa Mtu mwenye akili aliesoma akaelimika anaejua ku hoji mambo lazima akuhoji Hilda hawez kukubaliana na Hoja zako na wewe ambavyo utakua hujiamini utakimbilia kumlia Block..ila mtu akikwambia tupe hio video wewe umepewa huwez ukatoa taarfa ya kusema kuna video wakat wewe huna
@HildaNewton21 Mimi ndio hapa hua sikuelew Hilda hizi propaganda hua zinakushusha sana.
Kuna mda hua najiuliza wewe kweli ni Mwanachadema?...na sizani kama Heche na Lissu wanaweza penda Tabia hii hua unafanya, Hizi Alert unazotoa Hazifiki hata Asilimia 2 kua za kweli.huku hua ni kuchafuana tu
Samia aliuwa hadi mtoto wa miezi mitano. Aliuwa mama mjamzito. Alikatisha ndoto za vijana wengi sana. Leo anajitapa kuwa bingwa wa haki za binadamu. Akae akijua hakuna kiasi cha jiki kitamsafisha. Sisi hatutasahau, na hatutakubali uhalifu ule dhidi ya ubinadamu upite hivihivi.
Shida ya kuwa mtu mwema sana ni kuwa watu wengine wanakuona boya yaani watakutumia watakavyo. Jifunze kusema hapana au hata ikibidi toa ahadi ya uongo.
Unahitaji Interior design lakini unawaza udogo wa sebule yako ???
Usiwaze tena tupo kwa ajili yako
Tuite site tufanye kazi yetu
Call/what's app 0710 398 946 Karibuni sana Ubungo Msewe