@AndreAden70@enovelist1@Willie_Madisha@Jim_maxy Sema wadau mada mmeikuta kati. Hapa @Afruturist anajaribu kutetea hoja kwamba AI sio ya kubeza. Na alianza mada tweet za nyuma kwa kusema graduate mwenye 'good accounting and prompting skills'. Huwezi uka AI your way onto everything but it's a very handy tool.
@WaEastZoo@Labella_Mafia95 We jamaa acha ujuaji. We unaona hiyo biashara ni muhimu kuliko pesa zetu? Unafikiri tulinunua huduma zao kwa sababu tulifungwa kamba shingoni? Tulinunua kwa sababu walitushawishi wanaweza kutoa hiyo huduma. Nani Ana compensate hasara tunayoingia? Halafu unakuja kutetea tu!
@Kimbesa11@AnnaTibaijuka Lakini uchumi unakua zaidi tunapouza kuliko kununua. Urahisi wa kununua maana ake ni urahisi wa kutumia pesa. Lazima tuizalishe hiyo pesa kwanza kabla hatujaitumia. Ndio maana inashauriwa tuepuke mambo yanayoweza kuathiri biashara hasa uwezo wetu wa kuuza.
@Kimbesa11@AnnaTibaijuka Hoja ya prof ni kwamba sio sifa sana currency kubadilika ovyo kwa sababu inachangia kuyumba biashara. Kadri inavopanda/kushuka BOT wanatakiwa wahakikishe currency iko consistent ili kulinda kuuza na kununua. Tshs ikiwa juu sana ni rahisi mlaji kununua kwingine kuliko hapa kwetu.
@Kimbesa11@AnnaTibaijuka We usijione ndio una akili peke yako ๐ . Wewe umetoa sababu za faida ya $ kushuka lakini umeongelea zaidi wanunuaji wa bidhaa zinazoenda kutumika (mf. Gari, mashine). Sasa tupe na faida kwa wanaozalisha nchini wanatarajia kuuza nje, mf muuza korosho akienda kuuza anafaidikaje?
@Kimbesa11@AnnaTibaijuka Umezungumzia kununua tu. Embu tuambie kwa namna hiyo hiyo faida za wazalishaji na/ama wauzaji wa Tanzania. Pengine rudia tena kusoma alichoandika profesa.
@CpbBOB @AnnaTibaijuka Nadhani umeharakisha kuandika kabla hujamchunguza vizuri Prof. @AnnaTibaijuka. Hata hivyo hujachelewa sana. Kuliko ukaendelea kubishana na watu humu embu kamchunguze tena kabla hujamrushia maneno (maswali) kama hayo.
@hancymachemba Kwenye โmaishaโ hapo, unazungumzia uchumi, sio? Kama sivyo, angalau utupe hiyo tafsiri ya maisha ili tujue ni wakati gani unakua umeyapata.
@Roma_Mkatoliki@PCatnho@FistoniMayele Usingizi una stage 4. Ktk moja ya stage kunakua na ndoto na ni sehemu ndogo tu ya usingizi mzima ndio unaota (REM sleep 20-25%) japo ndoto inaweza kutokea pia ktk stage nyingine. Hali ya Kufa kunafananishwa na stage ambayo mwili umefanya almost total shutdown for body repair.
@NkumbiJoram โMy country did not send me 5,000 miles to start the race; they sent me 5,000 miles to finish the raceโ - John Stephen Akhwari, 1968 Olympic Marathon Mexico City