Hii speed ya kutuma miamala MPESA watanifungia kaline kangu.π
Tutaendelea saa 9 mchana weka namba na jina kwenye hii post.
Msisahau jeuri yote hii tunaipata kwasababu mwanangu @Thereal_taivina kashinda 10M leo.
Na hajashinda pekeeake. Zaidi ya odds 337 mitaa imekula leo.
So s/o ziende kwake, hakikisha una mfollow na kurepost hii post
@Thereal_taivina