@mwatika01 Tatizo sio lema kuondoka,lema anaenda wapi?akienda ccm ataenda na nani ๐
Akienda chauma or ACT who cares broe..punguzeni kujiamulia may be ataenda na ww
@MchocheziPro Badirikeni mbwa nyie,hili taifa limeharibika vibaya,mliwaamini kina wasira ambao wameishia kushuhudia vijana wakipigwa risasi na wakaufyata.mbwa nyie
@godbless_lema We na kikatuni time hii mtaimba haleluya,huku sio nyumbani kwenu hamtambi tena mmeamua kusaliti https://t.co/7YHKuGaYyl short ukitoa kichwa wanagonga
@sugarbabe_255 Hio kitu namwaga kwanza moja kwenye gras ya maji kisha nachanganya na energy nakunywa kama divai kuwashukuru mizimu,after hapo chika utaomba poo
@Thommunkondya Unadhan wale wanaokichangia chama fedha za kampeni,mabilioni wanautofauti na hao?ni vile huelewi na huwezi kuona kwa sababu umechagua kutoelewa