@OrganikM3chanic@privaldinho Maana yake iko hivi Mtoto aliyefaulu shule za serikali tena hizi za kata wana faida kubwa kwenye kujifunza kujitafutia vitu vya kuwawezesha kufanikiwa kuliko walisomea private school kwa sababu hizo shule wanajitahidi kuweka kila kitu na mazingira mazuri ya kuwawezesha watoto
@MarekaMalili Namwambia mke wangu mara nyingi sana kaka yangu au dada yangu ni ndugu kwa damu lakini kwa uhalisia kila mtu akishakuwa na familia yake mnabaki majirani tu kama majirani wengine
@MarekaMalili Na waone kama ni njia yenye mafanikio makubwa tena ya haraka lakini ufalme wa huru(Mungu) ni njia inayotowa mafanikio stahiki na salama ambayo haiwezi kusababisha madhara kwa watu wake ni zaidi inafundisha watu wake kuwajali na kuwathamini wengine kutambua njia salama kwa vizazi
@MarekaMalili Mungu apendezwi na uovu na anachukia uhasi lakini kwenye ulimwengu huu kuna falme mbili tu ufalme wa huru na giza
1, ufalme wa giza inapambana sana kuwafanikisha watu wake kiuchumi na kiutawala ili kujaribu kuwavutia watu wengi wawezi kuona kama ndiyo njia sahihi