Ukitaka kufahamu kiwango ambacho nchi yetu imeharibika ni pale unamsikiliza ‘Luteni Kanali’ wa JWTZ ambaye amepewa wadhifa wa kuwa Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano anatumia kauli mbiu ya kampeni za MaCCM, ‘Kazi na Utu’. Hii nchi imeharibika kiwango cha kutorekebishika kirahisi.
Watanzania msiogope, hakuna mwanajeshi atashiriki ushenzi wa Mkunda na uongozi wa JWTZ.
Kama mlikuwa hamjui kwenye maandamano ya October 29 hata wanajeshi walipewa shoot to kill orders ili wali defy orders.
Mangure anaongea anatetemeka vibaya sana,
Mwanajeshi anasema Kazi na Utu
Halafu waandamanaji anasema ni wafanye fujo
Mangure wewe ni mpumbavu na huyu CDF aliyekutuma, utakwenda Jela kwa kufanya siasa jeshini ng’ombe wewe
#Tanzania
"An 82-page submission to the International Criminal Court by a group of civil society organizations [has] stated that the Tanzanian authorities killed more than 3,000 civilians following polling day [last October]."
https://t.co/dHCUchvlQU @euobs
Kwanini kesi ya Mwenyekiti wetu isogezwe mbele kwa mda mrefu kiasi hiki mara tu baada ya chama kueleza mpango mbovu wa polisi hapo kesho.
Chama kimeeleza nia ovu ya polisi dhidi ya chama chetu alafu kesi inasogezwa mbele!!!
Mahakama ya Tanzania inaondoa imani ya wananchi na kuchochea chuki kwa matendo kama haya.
@WilliamsRuto@SuluhuSamia Mr president WilliamsRuto
Ongera kwa speech yako nzuri pale bunge kwa kusema madui wetu sio watz wala wakenya ni ajira na umasikini wambie sasa wamuachie tundulusi
Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana .
Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi Karibia sita kinyume cha sheria..
Sasa anapelekwa mahakamani kwa siri na kificho nia yenu ni ipi?
Lissu ni kiongozi wa umma haiwezekani kumfanyia mambo ya ajabu kama haya.
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality.
We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions