Maisha ni mafupi saana, kila mtu ana safari yake. Usikubali mtu/watu wawe ukuta zidi ya ndoto zako. Toka nje kutana na watu wapya jifunze vitu vipya kila siku.
@moodewji As certified planners and seasoned guides, in crafting unforgettable safaris, exhilarating treks & Zanzibar beach holidays.
Tungependa kupata uwekezaji zaidi kwenye bajeti za matangazo na masoko nchi mbalimbali ili kukuza idadi ya watalii tunaopekea.
https://t.co/YCXr3H7b70
10 years on Twitter. 2013 - 2016 Twitter, is still the best twitter ever happened in Tz.
Do you remember when you joined Twitter? I do! #MyTwitterAnniversary#10YearsOnTwitter
Founding a company requires resilience.
Startups really are a marathon AND a sprint. I’ve gotten knocked down more times than I can count, but consistently getting up and back at it is the only way forward.