Hoja ya Kupinga Tamko la Serikali kuhusu Makala ya BBC Africa Eye
Na Rev Peter Simon Msigwa
Tamko la Serikali linaibua maswali muhimu kuhusu namna nchi ya kidemokrasia inavyopaswa kushughulikia tuhuma nzito zinazotolewa dhidi yake.
Kwanza, ikiwa Serikali inaamini makala hiyo ina makosa ya ukweli, njia bora si kutishia kuchukua hatua dhidi ya chombo cha habari, bali ni kujibu hoja kwa hoja na ushahidi kwa ushahidi. Ukweli hauhitaji kulindwa kwa vitisho; unahitaji kuthibitishwa kwa vielelezo vinavyoweza kuchunguzwa na umma.
Pili, Serikali inasema BBC haikutoa nafasi ya kutosha kwa upande wake kujibu. Ikiwa hilo ni kweli, basi Serikali ina haki ya kueleza ni lini iliombwa maoni, ni maelezo gani iliyatoa, na ni sehemu zipi ambazo haikuridhika nazo. Hata hivyo, hoja hiyo pekee haiondoi wajibu wa kujibu tuhuma zilizomo kwenye makala yenyewe.
Tatu, kauli kwamba Serikali “itachukua hatua za kulinda heshima ya nchi dhidi ya mashambulizi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii” inaweza kutafsiriwa kama ishara ya kutishia uhuru wa vyombo vya habari. Heshima ya taifa hailindwi kwa kuzuia uchunguzi wa waandishi wa habari; inalindwa kwa kuhakikisha taasisi za dola zinawajibika, sheria zinaheshimiwa, na madai yoyote yanayohusu ukiukwaji wa haki za binadamu yanachunguzwa kwa uwazi.
Nne, Serikali imeelekeza nguvu nyingi katika kuhoji BBC kuliko kujibu tuhuma zilizowasilishwa. Wananchi wanahitaji majibu kuhusu madai yaliyotolewa, si mjadala kuhusu nani aliyaripoti. Kinachopaswa kujadiliwa ni ukweli wa yaliyomo kwenye makala, si utambulisho wa mtoa taarifa.
Tano, katika demokrasia zilizo imara, uchunguzi wa vyombo vya habari hauchukuliwi kama shambulio dhidi ya taifa bali kama fursa ya kuboresha uwajibikaji. Serikali yenye kujiamini hujibu kwa uwazi, huruhusu uchunguzi huru, na ikiwa madai si ya kweli, ushahidi huonyesha hivyo.
Watanzania wana haki ya kupata taarifa kutoka pande zote. Vivyo hivyo, Serikali ina haki ya kujibu. Lakini haki ya Serikali kujibu haiwezi kuwa sababu ya kuzuia au kutisha vyombo vya habari vinavyoibua maswali kuhusu maslahi ya umma.
Mwisho, heshima ya Tanzania duniani haitajengwa kwa kupinga kila taarifa ya uchunguzi. Itajengwa kwa kuonyesha kwamba nchi ina taasisi zinazoweza kuchunguza madai kwa uhuru, kuwawajibisha wanaokosea bila kujali nyadhifa zao, na kulinda haki za wananchi pamoja na uhuru wa vyombo vya habari. Huo ndio msingi wa taifa lenye nguvu na linaloaminika kimataifa.
Hivi vikundi vilivyoanzishwa vinaitwa vya kufa na kuzikana viangaliwe sana
Kikundi kina watu 300, ukifiwa mtu wako wa karibu unachangiwa karibu 8M
Hapa tutazika wengi sana💔
Tukikubali tu tukalegeza kamba tukaruhusu apige kono la nyani 👋🏿 tena….
TUMEISHAAAAAA!!!!
Hiki ndicho kitakachotokea 👉
Nisome kwa utulivu na umakini👉
Mwanadamu ana kawaida ya kuumia pale anapoona majority wanamkataa, wanampinga na hawamtaki, Ikogo hivo, that’s obvious.
Ndio maana unaona hata wewe mtu akikupinga kwenye comment unachukia na kumblock!!
Means unaumia, na ndio hayo maumivu ninayosema!
Maumivu hayo humfanya mwanadamu ajenge chuki dhidi ya wanaomkataa na kumpinga!!
So tukilegeza kamba 🧕 akafanikiwa kurudi tena second half……automatically ile chuki itakwenda kuzaa kitu kinaitwa REVENGE!!
ATATUNYOOOSHAAA SAAANAA!!
Sasa hapa kwenye kunyooshwa hapa, ndio huwa hapachagui kambi, aliekwemo na asiekwemo wote mnyoosho utatuhusu!!
Nyie mnaojazana mauwanjani kumshangilia, na sisi tulioko majumbani wote REVENGE itatuhusu tu!!
Coz atataka kuwakomoa waliokuwa wanampinga!! Hiyo ni nature ya wengi wanaoshika madaraka!!
Si mnakumbuka BANZA 💔 aliwaambia TUNDUMA
🗣️mkiniletea wapinzani hampati maji, msinichanganyie!! Siwezi peleka chakula kwa mtoto wa jirani, wakati mtoto wangu ana njaa!!
YOU SEE?👆THAT’S A REVENGE NA NI NATURE YA WATAWALA WENGI!!
Nature ya mwanadamu iko hivi, ni rahisi kuwakumbuka waliokuwa wanakupinga na kukukataa, kuliko kuwakumbuka waliokuwa wanakushangilia!!
Ndio maana hata wewe unaweza post kitu, ukapata comments zinazokusifia na kukuponda, lakini za kusifia ukaziacha, then za kukuponda ndio uta deal nazo na kuanza kuzi-reply
(HIYO NDIYO REVENGE HUMAN NATURE)
🧕 Akikalia tu kile kiti, ndio itamjia ile sauti
SI MLINIKATAA SASA NITAMIONYESHA!!
So 🧕 atakapo revenge kwa waliompinga, atafumua MA-TOZO Double Double, Tozo za miamala, tozo za luku, tozo za wese ⛽️
Unahisi ataikumbuka sura yako kwamba ulikuwa unamshangilia sana alipokuja SIMIYU kwahiyo wewe Tozo zisikuhusu?
Zimuhusu mpinzani tu? Thubutuuuuuu.
Nikiumia mimi, nawewe unaumia tu mulemule…..Yaani Nasoro na Cholo, YaleYale!!
Kwanza tunavyoishi unakuta tumeoana mke vegetable mume kaki!!
Familia unakuta dada alisema NRNE, Mama anasema Oktoba anatiki, Baba Afande! Beki tatu Octoba linda kura.
So sukari ikipanda bei ni MAMA,DADA,ANKO,BABU,MJUKUU, BABA, wootee inakula kwenu haichagui ulikuwa Kambi tawala wala kambi Pinzani wala Polisi!!
Tozo hazitawahusu viongozi wenzie tu, si mmeona juzi miamala ya JBL 🔈
(Zero cost)
Bima za afya, maji, umeme,barabara na huduma zingine akizikosa mpinzani na wewe technically utazikosa pia.
CHAKUFANYA TUSILEGEZE KAMBA!!
ASIPIGE KONO LA NYANI!!
#NRNE
1/ Meet Kabir Singh, an Indian scammer who impersonates Apple support and then rips off innocent vulnerable people.
He tried to scam me......but instead of paying him money, I hacked into his laptop and redeemed $10,000 worth of giftcards live on webcam!
@Kawambwa01@mafolebaraka Kwamba aliyoyapitia alistahili siyo lakini nikuhakikishie tunalia pamoja na mfiwa kwa sababu haukwepek utatokea hata kwet siku nyingin 'usifurahie mateso ya jirani yako kumbuka nature haidanganyi
📌Vita ya uchumi aijawai kuwa nyepesi,ili kuushinda umaskini lazma ujitoe,usithubutu kusema watanionaje ikiwa tayari wanakudharau kwakua una maisha mabovu💥