Mtangazaji wa kwanza mwanamke wa redio nchini, Bi Khadija Said Salmin maarufu pia kama Kende Malamu, amefariki dunia asubuhi ya leo Mei 22, 2026 katika hospitali ya Mloganzila.
Marehemu Khadija Said Salmin alikuwa mmoja wa waanzilishi wa tasnia ya utangazaji nchini na aliweka historia kwa kuwa miongoni mwa watangazaji waliotangaza tukio la kihistoria la Uhuru wa Tanganyika usiku wa Ijumaa Desemba 8, 1961 kuamkia Jumamosi Desemba 9, 1961.
Kufuatia kifo chake, watangazaji waliobaki walioshiriki kutangaza tukio hilo la kihistoria sasa ni wawili pekee ambao ni Bi Violet Maro pamoja na Hamza Kasongo.
Tasnia ya habari na mawasiliano nchini imepoteza mmoja wa waasisi wake muhimu aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya utangazaji wa redio Tanzania.
#KitengeUpdates
I'm excited to receive a scholarship to attend The Kenyon Review's Writers Workshop! I've been a fan of Lesley Nneka Arimah ever since I read What It Means When a Man Falls from the Sky, and I'm thrilled to work with her this summer โ๏ธ
#writingcommunity, #poetry
Jiunge nasi kusoma Lina Ubani. Kitabu ambacho tunaweza kukiita "classic" katika fasihi yetu ya Kiswahili. Tunayo bahati ya kuwa mwandishi wa kitabu Bi. Penina Muhando (Mlama) atakuwepo katika uchambuzi
Jisajili: https://t.co/VNm2MFbETm
#UmbuNiDada
My momโs started over at 39. She went back to college , finished her diploma & built a whole new life and career. She only got 5 years in that chapter before she passedโฆ but she lived it fully.
Sheโs goated in our family. Never too late to bet on yourself. โค๏ธ
I always tell my students, you can be certain that Toni Morrison herself carefully chose every word she ever wrote. That's what makes close reading her work so enjoyable and so fruitful. Today, we launch PASSAGES, a podcast about reading Morrison together. https://t.co/twlhFyoouN
Ucheoma Onwutuebe wins the 2026 O. Henry Prize for โWhere Are You and Where Is My Money,โ selected by Tommy Orange for one of the most coveted short fiction prizes in the United States. Out now from @vintagebooks, congratulations @ucheomar ๐๐พ๐๐พ https://t.co/w6cAPVaX6t
we need more holy spirit filled psychologists and sociologists. people who donโt just study behavior and systems, but also understand the role of the spirit in shaping peopleโs lives.