Rushwa ya ngono ni aina ya rushwa sawa na nyingine, lakini badala ya kudai fedha au vitu, mdai rushwa anadai ngono.
Ingawa ni aina ya ukatili wa jinsia, tofauti na vitendo vingine vya ukatili wa kingono, rushwa hii hufanyika bila kutumia nguvu moja kwa moja.
#HakiHaiuzwi
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ashiriki kambi usiku kusimamia kuondolewa kwa tope na magogo katika Mji wa Katesh, Manyara. Zoezi hilo, linalofanywa na TANROADS na TARURA, ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan kurejesha mji katika hali ya kawaida.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, asema kuwa jitihada za kuondoa tope Mji wa Katesh, Kufungua mitaa yote na kurejesha mji katika hali yake ya awali. “Maelekezo ya Mhe Rais, Dkt. @SuluhuSamia ni kuhakikisha leo kufikia usiku, mji wa Katesh na mitaa yake iwe imesafishwa”.