"Mambo haya nimekuomba usininyime kabla sijafa. Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unipe chakula kilicho kadiri yangu.Nisije nikashiba nikakukana na kusema Bwana ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba na kulitaja bure jina la Mungu wangu"(Mith 30:7-9)