@Abasishabani7 @mdudechadematz Sawa nguruwe pori, ngoja ninyamaze maana umeshapaniki, mistake kutengeneza story eti tetesi wanaogopa kupost. Lete taarifa kamili sio unakuja na makasiriko boy.
@mdudechadematz Siwezi kuku unfolow kwasababu kuna mengi najivunia kwako na kujifunza sasa kwasababu nimekukosoa ndo unanitaka niku unfolow ili nn. Acha izo bana
@mdudechadematz Umepanic mdude hao wanaoukuambia pia yawezekana hawana source Bora ungeenda Kwa boss wake ukamulize ili uwe na fact. Makazini kuna mengi brother. Hebu fikiri unaposema wanamtorosha ukiulizwa anaenda wapi kufanya nn nn huko mafichoni??
@mdudechadematz Tatizo unaandika Kwa mihemko kama chini tulia toa andiko lenye ujumla WA mambo, sio vipande vipande visivyo na muelekeo zaidi ya kuponda.
@ExMayorUbungo Wewe NI mwongo, unafikiria labour wanweza kufanya upumbavu WA ivo?? Labda kama alikuwa na Severe anaemia na alikuwa na shida ya blood cloting, na pia mbona hujasema kama mtoto alitoka salama?? Make sure you come across the field before prove nonsense here. Leta habari kamili
@VitusNkuna Think tank ya mama inadisari Sana hivi kweli mnamtakia mema my raisi kabisa?? Mnawezaje kubadilisha jina lilokuwepo na kuweka jingine?? Mmesahau mkapa stadium, daraja la mkapa??, Jk kikwete moyo foundation nk??? Ifike sehemu muwaze positive hii ni kumchonganisha mama na wananchi.