Hivi Mheshimiwa Rais huyu mtu huwezi mpumzisha? He is useless na anazidi kutia watu hasira kwa incompetences zake na uhovyo alioufanya kwenye suala la sukari na hizi sababu za kijinga anazotoa.
Kukumbwa na mvua nyingi kwa hiyo? Huyu alisema bungeni kwenye hotuba ya bajeti kuwa Tanzania sukari imezalishwa 101% iko wapi? Hawa watu wanapika data na haya ndiyo madhara yake sasa.
Huyu mtu hafai kuendelea kuwa waziri hata kwa dakika moja na anachangia pakubwa sana kwa serikali yako kuchukiwa na watanzania kwa sababu ya haya mambo ya kitoto anayofanya akidhani kila mtu mtoto kama yeye!
Huwezi waziri mzima unakuja kutuambia sijui mvua nyingi sana blah blah. Kwa hiyo tuzuie mvua zisiwe nyingi? Kwa hiyo uhaba wa sukari hautakuwepo kukiwa hakuna mvua nyingi? Kwani TMA si waliwaambia kutakuwa na mvua nyingi? Huyu waziri gani wa kilimo anakuwa hivi? Kutoa savabu ya mvua kuwa nyingi kwa ntu ambaye ni waziri wa kilimo ni dalili ya ujinga na kukosa uelewa uliopitiliza.
Huyu mtu hana uwezo na maarifa! Yuko bize na miradi yake ya BBT ambako wanaiba hela basi. Hana kitu anafanya cha maana na hili la sukari ni mwanzo tu wa uozo anaofanya.
Halafu huyu ndiyo anajitapa kuwa atakuwa waziri wa fedha mara sijui waziri mkuu ajaye! Kwa akili hizi? Hapana!
#KigogoMediaUpdates
🔲 𝐊𝐀𝐀 𝐓𝐀𝐘𝐀𝐑𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀.
Usajili wa kesho ni furaha tupu. Hatuna maneno mengi wewe la kufanya ni kupakua na kulipia Simba App alafu subiri kesho saa 7:00 mchana. #NguvuMoja