@zittokabwe Ulikuwa hujui. Hata mimi leo nikipewa Mamlaka lazima niyatendee Haki kwa Uwezo na Nguvu zangu zote. Ikipita imepita hiyoo.
Wengine ni wabunge, polojo na majungu mengi tu. Kaa waza namna ya kulibadilisha Jimbo lako, weka siasasiasa pembeni tumikia watu wako.๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ

@SuluhuSamia .. alipwe kwa muda kaela kake kamsaidie. Mtumishi halipwi hadi miezi mitatu mpaka kukabana jaman. Wananiuma Sana moyoni, hao ndo wanyonge japo wanaokataa sio wanyonge hawayajui Maisha ya wanyonge.
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni.
Nawasilisha Mh. Rais
@SuluhuSamia Sawa Mama, Kusema ukweli Mh. Rais kuna watumishi wanaojituma wasiopenda uonevu, rushwa na unyanyasaji wa Raia.
Lakini Mama wapo watumishi wa mikataba ya muda ambao uajiriwa na Halmashauri, kuna tatizo la kucheleweshewa malipo yao, malipo yenyewe madogo Sana, bora Basi hata..
@SuluhuSamia Mama shikamoo, Dua na sala zetu ziko juu yako Mama yetu, tunakupenda Sana,
Tunaimani tuko salama mikononi mwa Mama yetu. Sawa watoto hawafanani, wapo watakao kusumbua lkn wapo tutakao kutii na kukusikiliza Mama yetu.
Mungu azidi kukupa ulinzi, Mamlaka na Nguvu.
Long live Mamaa