Muda mwingine unashangaa kwann hauna gari, kumbe Mungu anapendezwa na style yako ya kutembea
π π π π π π π π€£π π
#WajumbeFunFriday#wajumbetuinuane
βTutahakikisha Vijana wanakuwa na ajira,Vijana ndio nguvu kazi ya Taifa tutaanzisha mashamba ya Vijana wakalime, ndio Vijana mtalima, masoko ya uhakika yatakua mashuleni maana tutagawa vyakula huko bure ikiwemo ubwabwa,tutaanzisha viwanda vingiβ-Hasheem Rungwe
#MillardAyoUPDATES