@master_plan6 Watumia sigara wanauwezo kuvamia gar la sigara kwan hua ni timam kimwil na kiakil kuliko mtumia pombe akiiba atalewa hapo hapo atakamatwa
@EsirEid Nikipata hiyo laki 5 naenda Watu Credit kutoa kianzio cha mkopo wa pikipiki mpya tvs nalala nkiiwazia sana sana nahangaika na hii nilonayo mbovu inanisumbua