@EliabuDanford propaganda nyengine zikitengezwa ujue kunakitu kinatakiwa kufanyika iyo ni propaganda ya serikali ili waseme wanaoandamana ni wafaransa ni magaidi
@INFLUENCERjr serikali ya ufaransa nyuma ya pazia inahusika na mauwaji yanayofanyika mashariki ya kati ikichangia pesa nyingi sana kwenye harakati za mauwaji hali ya kuwa maisha ufaransa ni magumu kwa wananchi wa kawaida mfano mmoja ni hapa africa bukinafaso traore anataka amuuwe
@Peterson600600 Wanawake wa kiislam wapo vizuri maadili na mavazi yao yapo vizuri tofauti na ya wakiristo bikira maria kajitanda na kavaa nguo za stara ila wakiristo nywele wazi wanatangaza shepu zao kwa nguo za kubana hawana maadili mazuri