@nassor_01@Ngattaboe99 Je, unafahamu kwamba "Mwanamume" yeyote yule rijali ana uwezo wa kulala na Wanawake 6+ kwa siku moja?
Lakini hiyo inategemeana na unakula nini kila siku.
Je, unajua Mfalme Suleiman alikuwa anakula nini kila siku??
Soma vizuri historia yake.
@TanzaniaAnalyst Hakuna mtu yeyote yule mwenye akili timamu anayepinga mtoto ku-support kazi ya mzazi wake. Isipokuwa, watu wanapinga mtoto kutumia mamlaka au cheo cha mzazi kuwaumiza wengine.
Hiyo tabia haikubaliki popote pale duniani.
Unawakumbuka watoto wa Gaddafi? Unajua nini kiliwakuta?
@amina_hafidh@tenende_martial Wanawake kuweni makini sana na mitandao. Mitandao haina Siri, kama mna watoto wa kiume kuna siku wakikuwa , wataingia humu na kukutana na picha zenu zinazoonesha "bawasiri". Shauri yenu.
@joharimshana Sawa, Tanzania haijawekewa sanctions. Swali ni je, unawezaje kubypass sanctions walizowekewa Russia na kufanya nao biashara?
Hilo ndilo lilikuwa swali la msingi.
Rais alipaswa kujibu anawezaje ku bypass sanctions?
@MsigwaPeter@HecheJohn "4. KATIBA NI KUBWA KULIKO CHAMA TAWALA
Katiba ndiyo mkataba mkuu wa taifa.
Katiba ndiyo inayotoa mamlaka kwa:
Rais, Bunge Mahakama.
Sio Rais anayeipa Katiba nguvu.
Ni Katiba ndiyo inayompa Rais nguvu."
Nilimsikia mlevi mmoja akisema, "Katiba ni kakijitabu tu".