๐๐ฅ Karibu FahamuLayers!
Chanzo chako bora cha maarifa ya kitaalam kuhusu ufugaji wa kuku wa mayai. Tunakuletea:
โ Lishe na Chakula
โ Afya na Magonjwa
โ Mazingira na Usimamizi
Fuatilia kwa mbinu bora za kuongeza uzalishaji wa mayai! ๐ #FahamuLayers#UfugajiBora
@MarekaMalili@AlexSamoja I own....ndio maana nasema ivo GHARAMA za ujenzi wa jengo..kinu cha kusaga na motor yake then kinu cha kukoboa na motor yake.....baada ya hapo umeme wa 3 phase so 5 m haitoshi kabisa
Wiki 4 kwa watumiaji wa deep litter ni mda sahihi wa kuanza kutumia Agracox kama njia nzuri ya kuzuiya maambukizi ya awali ya coccidiosis
#Farmup#Fahamulayers
Wiki 4 kwa watumiaji wa deep litter ni mda sahihi wa kuanza kutumia Agracox kama njia nzuri ya kuzuiya maambukizi ya awali ya coccidiosis
#Farmup#Fahamulayers