Persistent Genital Arousal Disorder' ni hali ambayo inawaathiri sana wanawake. Mtu mwenye tatizo hilo anaweza akawa anafikia kilele (Orgasm) bila kufanya mapenzi zaidi ya mara 100 kwa siku.
Chanzo: Heathline
#Fahamuzaidi
Talikodgenic' ni mtu anaeonekana mzuri kwa kuanzia nyuma. Ukiitwa hivyo ina maana hauvutii mtu akikutazama kwa mbele mpaka ugeuke nyuma. Ni kinyume cha neno Photogenic!
Chanzo: Urban Dictionary.
#Fahamuzaidi
Mkojo wa binadamu unatajwa kama ni mojawapo kinga na tiba ya magonjwa mbalimbali kama kuiweka ngozi yako kuwa na afya nzuri, kupunguza uzito, tiba ya haraka kwenye kidonda, tiba ya jino n.k. Lakini kisayansi hakuna uthibitisho wowote kuwa mkojo wa binadamu ni tiba.
Chanzo: BBC
Katika Series ya Game Of Thrones, Seasons za mwanzo walitumia wahusika halisi wa Filamu za ngono ili kuleta uhalisia zaidi. Wajue hapa: https://t.co/57RmfcKyhE
Matangazo ni jambo muhimu sana katika kuifanya kampuni yako iendelee kukua kila siku. Google' licha ya kuwa Search Engine Maarufu na yenye watumiaji wengi sana duniani lakini inashangaza Pesa wanayowalipa Apple' ili waendelee kubakia Default Search Yao https://t.co/8eA15iNu4w
Avengers: Endgame Ujio Mpya Ubora Ule Ule..Baada Ya Kutazama Umewaza nini Kinafuata Baada Ya Kumaliza Kila Kitu Katika Endgame? Soma zaidi: https://t.co/iPD8hlh733
Fahamu njia rahisi ya kupata Subtitle ya Filamu au Series yoyote unayohitaji kwa Urahisi na haraka zaidi Kwa kusoma kupitia Link Hii https://t.co/POawDdRxXH
Ziwa Natroni' linapatikana Arusha. Mojawapo ya sifa yake ya Kipekee ni Kugeuza viumbe kuwa kama Jiwe' pale wanapogusa maji hayo sababu ya kiasi kikubwa cha Chumvi na joto. Soma zaidi Hapa! https://t.co/IBDZNIZJ97
Hifadhi ya Taifa Kitulo' inapatikana mpakani mwa Njombe na Mbeya. Moja ya Sifa zake za kipekee ni Bustani ya Mungu' ambapo kuna maua mengi tofauti huku jamii 30 ya maua hayo tofauti huipati sehemu nyingine yoyote Duniani. Soma zaidi: https://t.co/lq7vS1HHGY
NASA wana mpango mpaka kufikia mwaka 2030 kutoka sasa wawe wamefanikiwa kupeleka watu katika sayari ya Mars. Tajiri Elon Musk' yeye anasema atapeleka watu kutalii mwaka 2022 na atajenga nyumba katika sayari hiyo ambayo watu watafikia.
#Fahamuzaidi
Mambo Ya kuepuka sana ukiwa kijana,
1.Excuses (kujitetea)
2.kutojiamini(lack of confidence)
3.hofu ya kufeli(fear of failure)
4.kuhairisha mambo (postpone)
5.enjoying people
6.negative thought(mawazo hasi)