Katika utulivu wa moyo wako, kuna nguvu kubwa kuliko unavyodhani. Wakati mwingine maisha huleta mawimbi makali lakini kumbuka, hata bahari yenye hasira huwa na kina tulivu chini yake. Wewe ni zaidi ya changamoto unazokutana nazo; wewe ni ushahidi wa uwezo wa kusimama tena.
Busara ni kuishi na kila mtu kutokana na mapungufu yake na kumvumilia maan hata wewe una mapungufu yako na wengine wanakuvumilia hakuna mkamilifu
Good morning๐
Ukiwa katika harakati zako za kilasiku unapokea taarifa flani amefariki (Innalillah wainnailaihi rajjuni) unahoji alikua anaumwa? Nini kimetokea tunasahau kuishi ni zawad tu na kila nafsi itaonja umauti Aliyekufa leo alikua na mipango mingi kuhusu kesho lakini Allah ndo mjuzi
Pesa haimalizi matatizo wala matatizo hayamalizi pesa,ni vile tu ukiwa na pesa unaona unaweza tatua kila kitu na usipokua na pesa kuna mambo unaamua kuyaacha yapite kama yalivyo au ukafanya kwa udogo wake.
Ndio maana wanaoitwa wabahili ndio wanafanikiwa.
Good morning fam.
Pity is not love but in love there is pity.
Mapenzi na pesa huwezi tenganisha.
Mwanaume atajisikia raha kumhudumia mwanamke ampendae bila kulazimishwa wakati mwanamke atajisikia vibaya kumuomba pesa mwanaume ampendae akiogopa kumkwaza,otherwise tuendelee kufanya biashara.
Gm fam
Stay positive, it's healthy.
Unapompenda mtu na kumfanyia mambo mazuri,huwa si kwa ajili yake,huwa ni kwa ajili ya amani ya moyo wako,hata mambo yakienda vibaya hutakiwi kuanza kuumia wala kulalamika,unachukulia tu kuwa ulikosea kuchagua na maisha yaendelee.
Good morning fam.
Ukiogopa sana lawama hauwezi kuyafurahia maisha yako! Kumbuka kuishi ni mara Moja tu hapa duniani na kuishi ni lawama! Lawama ni kwa walio hai sifa nzuri ni kwa marehemu tu