"Kampeni ya sahihi imefanyika katika mikoa 13 tareget ilikuwa ni ni kupat sahihi 5000, lakini leo tumevuka lengo kwa kukusanya sahihi 57,000 za wadau mbalimbali Tanzania bara na Zanzibar waliokubaliana
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu
ya madhara ya usafirishaji haramu wa binadamu.Tutaendelea kushirikiana kwa karibu na serikali na taasisi nyingine za kisheria ili kutekeleza sheria No.6/2008 na kutoa msaada na huduma sitahiki kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu"
@Tanahut1@UKinTanzania
Dhumuni kubwa la mashirika haya kuungana na kutengeneza mtandao wa kitaifa ni kuunganisha nguvu ya pamoja kuhakikisha kuwa mtandao unakuwa jukwaa la kubadilishana uzoefu, kutoa mafunzo, kukusanya taarifa (data) na kuhamasisha umma juu
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu
"Ninaelekeza mashirika yanayofanya kazi katika mtandao huu, kwakuwa tunafanya kazi pamoja tuingie katika makubaliano ya pamoja yenye malengo na matokeo ya .
"' Mgeni Rasmi
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu
"Ninawakumbusha pia mashirika yote yasiyo ya kiserikali kukumbuka kufanya kazi kwa kuzingatia sheria na utaratibu wa nchi, hususani mila na desturi za nchi yetu zinasemaje"
-Mgeni Rasmi-
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu
"Serikali ya awamu ya sita inatambua michango ambayo imekua ikitolewa na mashirika yasiyo ya kiserikali pamoja na wadau wengine katika kupambana na biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini,
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu
Mtandao wa TANAHUT ni mtandao wenye mashirika wanachama 105 kutoka mikoa mingi nchini. Mashirika haya in Pamoja na NGOs, CBOs, Taasis za dini, watoa huduma kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu, taasisi za elimu ya juu na mashirika ya Habari.
#EndHumanTrafficking
Mtandao ulianza na mashirika 10 wanachama yaani TRI, DMI, ROME CENTRE, ACHA, SAHRINGON, TAWOJAC, NDT, CHAKUA, WEEDO, DWI, TCLC. Kufikia mwezi June 2023 tulikuwa na wanachama hai 105.
-Edwim Magambila-
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu
kutoa mafunzo, kukusanya taarifa (data) na kuhamasisha umma juu ya madhara ya usafirishaji haramu wa binadamu. Tutaendelea kushirikiana kwa karibu na serikali na taasisi nyingine za kisheria ili kutekeleza sheria
~Edwin Magambila-
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu
Dhumuni kubwa la mashirika haya kuungana na kutengeneza mtandao wa kitaifa ni kuunganisha nguvu ya pamoja kuhakikisha kuwa mtandao unakuwa jukwaa la kubadilishana uzoefu,
~Edwin Magambila-
#EndHumanTrafficking#UtuWanguHakiYangu