Tundu Lissu; Je, ni kweli au siyo kweli kwamba uliniita ofisini kwako, ukasema natakiwa kuonana na ujumbe wa Lazarus Chakwera kutoka Jumuiya ya Madola?
Mkuu wa gereza Ukonga; Sina jibu
Tundu Lissu; Je, ni kweli au si kweli kwamba ulisema nipelekwe kuonana na ujumbe huo na Afisa magereza wa mkoa SACP Mangala.
Mkuu wa gereza Ukonga; Si kweli
Tundu Lissu; Kama si kweli, huko kuonana na Chakwera nilipelekwa na nani?
Mkuu wa gereza Ukonga; Sijasema ulipelekwa
Tundu Lissu; Umesema huna jibu
Mkuu wa gereza Ukonga; Nimesema hujawahi kupelekwa
Tundu Lissu; Kwa hivyo nilikwenda kumuona kwa ruhusa ya nani?
Mkuu wa gereza Ukonga; Sina jibu.
Licha ya Kutofautiana Kidini, Kiimani na Kisiasa ila linapokuja swala la mtu Kapata matatizo,Kateswa na Kupigwa inapaswa tusimame Kwa Pamoja na Kukemea no one deserve this wallah πππ