Kama wewe ni developer au designer, kumbuka:
● Good systems start with clear structure
● ER Diagram ni foundation ya kila kitu
Building. Learning. Improving
Turning ideas into systems ⚙️
Leo nimekua nikidesign ER Diagram ya WiFi Billing System 📡
From users, subscriptions hadi usage tracking — everything structured for real-world implementation.
Ukiachilia mbali kua na roadmap lakin nilikutaba na @_kikakaOg alinipa maelekezo namuna gan yakua fikia malengo yakua expert kwenye cyber security na kunieleza kuhusu online platform for learning cyber security, using hands-on exercises and labs, all through your browser!
Uwezi amini insparation yakua na skills ya Networking nilitoa kwa @George_Ambangil nilipo ona interview yake akieleza kua ukiachana na uchambuzi wa mpira yeye ni proff wa networking aliee kua certified na @Cisco kasoma Cisco Certified Network Associate (CCNA)
Leo nisiku ya kwanza katika safari yangu ya cyber security kupitia road map yangu ina niongoza kuanza na kujifunza kuhusu fundamental IT skills si kwamba ni mgeni katika fumdamental of IT BUT ntaenda kama Roadmap inavyo niongoza B
mtu yoyote wa Cybersecurity, Networking, Programming, au Tech kwa ujumla, ningefurahi sana kupata:
• Ushauri
• Roadmaps
• Resources
• Au hata mentorship
🙏 Support yenu itasaidia sana kwenye safari yangu.
Safari inaendelea…
#CyberSecurity#TechJourney#BuildInPublic
Nilipo kua Chuo nilikutana na watu muhimu sana kwenye safari yangu ya tech kama vile @_kikakaOg@ally_ndimbo@Kallyfive
Hawa watu walikuwa sehemu ya ukuaji wangu kwenye industry ya IT.