Faster, Cheaper Gas Delivery Service. Ensuring every home in Tanzania has access to clean cooking gas.
~
Press Link Below 👇🏻 to order your cooking gas NOW!
Moja kati ya changamoto inayojitokeza sana wakati wa kupika ni gas kukatika kabla ya pishi kukamilika , watu wa jikoni wanalijua hili ! @gas_fasta wanakupa ahadi ya kusahau kilio cha aina hii kuanzia leo kwa sababu #GasNiFasta popote ulipo.
#GasNiFasta
Great news!
We are preselected for the Startupper of the Year by Total Energies. We need your likes
1- Click the link on our BIO
2- Sign up to vote
3- Search for GAS FASTA
4- Click on Like to vote for Gas Fasta
5- Share the link 🔗
https://t.co/1bb7PlPp4Z
Pongezi kwa kutimiza miaka mitatu ya uongozi. Jitihada za Rais wetu Dkt. Samia Suluhu katika kuwafikishia Nishati safi ya kupikia kwa kila mtanzania imeleta tija kubwa.
Ukosefu wa mitaji ni changamoto kubwa inayowakabili wasambazaji na wauzaji wa nishati safi ya kupikia, ila serikali na wadau wameanza kulifanyia kazi hili, fuatilia zaidi
Zoezi la utiaji wa saini wa hati ya makubaliano ya ushirikiano kati yetu na @CloudsMediaLive Makubaliano haya yanahusisha ushirikiano katika kutangaza, kusambaza na kutoa elimu juu ya matumizi ya Nishati ya Gesi chini ya @FastaGas#NishatiSafi | #GasNiFasta
Shukrani zangu kwa Serikali na taasisi zote zinazohusika katika kufanikisha @FastaGas ushirikiano wetu na @CloudsMediaLive una lengo la kuchagiza lengo la Serikali mpaka kufikia 2030 Watanzania 80% wanatumia Gesi kwenye shuguli zao. ~ @albeiti91#NishatiSafi | #GasNiFasta
@FastaGas haitachaji gharama za kufikishiwa Gesi mpaka mlangoni kwako, gharama itahusisha ule mtungi wa gesi au vifaa husika ulivyoagiza. Uharaka na urahisi ndio kitu pekee ambacho tuna uhakika kwenye huduma zetu. ~ @albeiti91#NishatiSafi | #GasNiFasta
Njia nyingine kwa watu wasiotumia simu janja ambayo ni kupiga simu kwa kutumia namba 0768 882 222, huduma hii ni masaa 24 kwa Dar Es Salaam nzima. ~ @albeiti91
CC: @CloudsMediaLive#NishatiSafi | #GasNiFasta
Kuna njia nyingine ambayo wananchi wanaweza kuagiza kwa kutumia WhatsApp AI generation, kupitia namba maalumu ambayo ni 0768 882 222 na kuagiza #GasFasta. Njia hii inakupa machaguo kulingana na uhitaji wako. ~ @albeiti91@CloudsMediaLive#NishatiSafi | #GasNiFasta
Kupitia teknolojia (application) ambayo mteja ataweza kuchagua aina, uzito na gharama anayoweza kulipia. Mteja anaweza kulipia kwa mfumo wa simu au kulipia kwa taslimu (cash). ~ @albeiti91#NishatiSafi | #GasNiFasta
Lengo la kuanzisha mfumo wa @fastagas ni kupata suluhisho kwa watumiaji wa nishati katika shughuli zao. #GASFASTA inarahishisha upatikanaji wa urahisi na haraka na gharama nafuu. Hii suluhisho la changamoto zinazotokea. ~ @albeiti91#NishatiSafi | #GasNiFasta
Leo ni mwanzo wa safari iliyochochewa na ushirikiano, uvumbuzi, na dhamira ya pamoja ya kuboresha maisha ya wananchi. Ushirikiano wetu na Clouds ni uthibitisho wa nguvu ya hatua za pamoja na imani kwamba kwa kushirikiana, tunaweza kufanikisha mengi. ~ @albeiti91#GasNiFasta
@FastaGas ni kampuni ya kidigitali ambayo imejikita katika kufikisha gesi kwa watumiaji nchini bure kwa wakati na urahisi kupitia programu yao maalum inayopatikana kwenye Application za simu. ~ @albeiti91
CC: @CloudsMediaLive#NishatiSafi | #GasNiFasta
Nafasi yangu leo nikurasimisha Ushirikiano huu na @FastaGas katika kuongeza uelewa na kusaidia akina Mama ambao ni watumiaji wakubwa wa gesi katika shuguli zao za kila siku. ~ Elikimbilio Kitoi - HR @CloudsMediaLive#GasNiFasta | #NishatiSafi
“Kwa mara ya kwanza kuhudhuria kwenye kipindi cha Leo tena, kama dhumuni la Clouds kufungulia watu dunia. Leo tuko hapa kama Clouds kushirikia na @fastaGas kuwafungulia dunia akina Mama kutumia gesi kwenye natumizi.” ~ Elikimbilio Kitoi - HR @CloudsMediaLive#GasNiFasta
Ushirikiano huu wa Clouds Media na @FastaGas ni kuongeza ubunifu, urahisi na kuondoa gharama za kufikishiwa gesi wakati wowote. @FastaGas imelenga kuwafikia kwa wakati na kwa urahisi. ~ Elikimbilio Kitoi - HR @CloudsMediaLive#GasNiFasta | #NishatiSafi
Happening now, the launch of the #GasNiGasFasta campaign with our strategic partners @CloudsMediaLive#LeoTena show. Our campaign slogan is, "Nishati Safi, Afya ya Mama, Furaha ya Familia".
Our mission at @FastaGas is to democratize access to clean cooking gas to grassroots communities in Tanzania. We provide ease of access, convenience, faster and affordable cooking gas.
#GasNiGasFasta