Wafanyakazi wa TIP kutoka wilaya ya Ilemela Mwanza na kutoka Sekretariat ya TIP jijini Dsm walitembelea shule ya msingi sabasaba ili kujionea maendeleo ya program ya kimichezo inayolenga kuwaelimisha watoto wa kiume kuwa wanaume Bora wa baadaye.
Kwakweli nimeelimika vya kutosha mafunzo haya yamenisaidia hata jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii na kwasasa nimewezakuelimisha jamii kuhusu unyanyasaji wakijinsia naUpimaji wa HIV vilevile nimepata marafiki wengi sana,Kongile Sana Ibwe.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Mwanaume kuwa Jasiri na ujiamini jikubali shirikiana na mpendwa wali kwenye zoezi lakupima ukimwi
@aghpahi
#Rafiki kapime HIV
@princendibalema
@jojopinktwin
@millardayo#hakiza Watoto
Tukishiriana hinawezekana Tanzania bila HIV inawezekana
@tanzanianterfaithpartnership
@agpahi
@princendibalema
@millardayo#hakiza Watoto
# Rafiki kapime
Ukatili wa kinjisia nimapambano zidi ya watu site
@princendibalema
@Tanzaniainterfaithparthnership
@millardayo @hakizawanawake
#hakizawatoto
@ jojopinktwin
Kama mtu atatumua vizuuri ARV kadri ya maelekezo ya watabubu navirusi virus vikafubaa Kwa kuwango cha juukabisa huyo mtu ataishi mda mrefu
@Fausta46597307
@TanzaniInterfaithpartnership
#Rafikikapime