Maujanja kwenye kompyuta
Je umekua kuangaika jinsi ya kufanya activation ya window kwenye kompyuta lakini umeshindwa? Najua watu wengi wanatumia njia ya kmpisco ambayo sio salama kabisa !!
Leo nakupa maujanja ya kuondoa neno window is not activateduzi👇ni wako follow & share
Kazi inatangazwa. Social Media Content Creator anahitajika!
Huna experience, huna connnections. Ila kwa vile we sio muoga, kwenye CV unajinadi kwamba uta create engaging content kwa kutumia AI tools tofauti.
Kimasihara unaitwa kwenye interview, unaulizwa how?
Let's see....
🧵
FAHAMU NJIA YA KUWA MKOPESHAJI WA FEDHA
(MICRO FINANCER).
Nimepata Dm nyingi watu wanataka kujua taratibu za kuwa mkopeshaji wa Pesa (money lender)
Kufungua
Microfinance, Credit company 💪
Leo nitakuelezea njia muhimu
Kwa kufuata muongozo wa BOT.
🧵🧵 Uzii.
@jacksonsikimay @PoeticTricy 😆😆influensa hapo ndio utaanza kutupanga kuwa ulikuwa unashinda njaa na kulala saa 11 asubuhi kwa design poster za wizara hadi wakakukubali🤣🤣🤣
AFRICETA LOGO DESIGNING
Nashukuru nilipata wasaa wa kifanya kazi na hii brand ambayo iko based dar es salaam, Tanzania.
Daima nimekuwa nikiwaacha client wangu midomo wazi kwa uwezo wa design ninazowaonesha ambazo zinafikia kile walichotamani kuwa nacho.
BE BLESSED 🙏🙏🙏