Picha ya kwanza ni mtu anayefuatilia msafara wa John Heche kila aendapo.
Picha ya pili ni mtu aliyeua raia October 29.
#Zingatia
Angalia picha hizi kwa makini, Angalia mikononi hiyo bangili, Angalia aina ya mavazi anayopenda kuvaa, umbo la mwili, na rangi ya ngozi.
Unaona Tunachoona?
Watu wa humu tunachagua sana watu sijui ni ujinga au ni upumbavu.
Nakumbuka kipindi Niffer na Mika chavala wamefugwa gerezani watu walikua wakijipendekeza kusukuma reli za kuwatoa Gerezani, lakini mwanetu sir jeff kila mtu yupo kimya huu ni ubaguzi,
Twendeni hata tukamuone tu
Mpaka kufikia 2021 JPM anafariki pale, ni vijana wachache sana walikuwa wamekimbia nchi/wako exile kwa sababu za kisiasa na hofu ya kurudi nchini kwa sababu za kisiasa/utawala uliopo madarakani na vyombo vya dola.
Hapa katikati hapa 2024-2026 hii idadi ya vijana kuwa exile imeongezeka mno.
As we speak kuna vijana wengi sana hawapo nchini na hawawezi kurudi kwa ajili ya kuhofia usalama wao.
Wapo wengine wengi hawakukimbia nchini, waliondoka kwa sababu zao binafsi, lakini wakiwa nje wamekutana na viashiria vingi vya usalama wao pindi watakaporejea nchini!!
Wengine walijaribu kurudi hatujawaona mpaka leo!!💔
Hadi kufikia 2030 Hii idadi itaongezeka sana kwakuwa watawala wamekataa kubadilika!!