Waandishi wa habari wa nchini Marekani wameonywa kuacha tabia ya kuiba vitu kwenye Ndege rasmi ya Rais Air Force one.
Ukaguzi wa hesabu uliofanyika katika Ndege hiyo baada ya safari ya Rais Joe Biden ya Pwani ya Magharibi mwezi Februari ulikuta vifaa vingi vimepotea kwenye upande unaotumiwa na vyombo vya habari.
Chama cha waandishi wa habari wa Ikulu ya Marekani kimetoa onyo kuwa kuchukua vitu kutoka kwenye Ndege hiyo hakuruhusiwi.
Mwezi uliopita chama hicho kilituma barua pepe waandishi wa habari ambao husafiri na Rais na kuwaasa kuwa tabia hiyo si nzuri na inatakiwa kuachwa.
#KitengeUpdates
Asante sana @MhiluJames na wengine wote kwa maoni haya. Namshukuru Mungu kuona kuwa watu mnaonifahamu na ninaofanya kazi nanyi mnajua uwezo wangu, kujituma kwangu, ubunifu wangu na hulka yangu ya kutaka kuona matokeo chanya ya kazi zetu.
Alhamdulillah kote nilikopita matokeo chanya ya utumishi wangu yanajulikana na kuonekana. Kuanzia kwenye CSOs (ESRF, LHRC), Diplomatic organisations (6 years at Embassy of Denmark DSM, African Union Commission) na sasa katika Utumishi wa kisiasa/umma kuanzia 2010. Nawashukuru mno Viongozi wangu Wakuu kwa kuniamini. Kipekee, namshukuru Rais Dkt @SuluhuSamia kwa kuendelea kuniamini kuwa mmoja wa wasaidizi wake. Nashukuru kuona ktk kipindi chetu tumepata mafanikio mengi na makubwa katika kuboresha utoaji huduma za Afya nchini. Sitarudi nyuma, Nitaendelea kuchapa kazi na kujituma usiku na mchana ilibkuhakikisha watanzania wanapata huduma bora za Afya ktk ngazi zote.
Kama nilivyosema sekta ya afya ni jambo kubwa, dynamic na linalomgusa kila mtu. Hivyo changamoto haziwezi kukosekana. Na kila siku zinaibuka changamoto mpya. Mimi na wenzangu @wizara_afyatz na kwa kushirikiana na @ortamisemitz hatutachoka kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuboresha huduma za afya kwa watanzania.
Aidha nitaendelea kupokea na kuzipatia ufumbuzi wa haraka changamoto zinazohusu huduma za afya nchini kupitia jukwaa hili na majukwaa mengine. Pia hatutasita kutoa ufafanuzi wa hoja pale tunapoona kuna upotoshaji.
Mwisho niseme kuwa mimi na timu yangu hatutakatishwa tamaa na kampeni chafu zinazoendeshwa mara kwa mara na baadhi ya watu. Ndio Uongozi, kiongozi unahitaji kuwa na ngozi ngumu. Muhimu ni kuwa na dhamira njema. Na kubwa zaidi, kumtanguliza Mungu mbele. Yeye ndie muweza wa kila kitu.
First of all, we want to thank everyone for all the great and supportive messages.
I’m happy to share that I’m no longer in the intensive care unit. However, I’m still in hospital. I hope to go home next week and take the next step in my recovery!
"Wanaolazimisha udini katika jambo hili (la bandari) jiheshimuni ili tuwaheshimu. Msijifanye Wakristo kuliko Kristo mwenyewe. Msijifanye Waislamu saaana kulilo Mtume. Tunazungumzia bandari siyo makanisa wala misikiti. Mlisubiri bandari ndo mtuoneshe mlivyo waumini?! Kweli sina adabu mimi" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
Hakuna aliye mkamilifu. Sisi sote tuna mapungufu yetu. Kamwe usimshushie mtu heshima kwa sababu ya mapungufu yake. Mwenyezi Mungu anaweza kubadilisha mambo kwa haraka na unaweza kujikuta katika hali hiyohiyo.
Ijumaa Mubarak
Understand price tag to sign Jonathan David this summer will be around €65m as Lille expect top clubs to move for the Canadian striker. 🔴✨ #transfers
2️⃣0️⃣ David scored again today — it’s 20 goals in #Ligue1 now, top scorer of the league tied with Kylian Mbappé.
Nimesikitishwa na vifo vya watu 17 vilivyosababishwa na ajali iliyotokea jana saa 4:30 usiku eneo la Magila Gereza, Wilaya ya Korogwe, Mkoa wa Tanga. Nawapa pole wafiwa na wote walioguswa na vifo hivi. Nawaombea ndugu zetu hawa wapumzike mahali pema na majeruhi wapone haraka.