UMRI WA MIAKA 25 - 40+
1. Upweke unakuwa sehemu ya maisha na Unagundua kuwa matatizo yako mengi lazima uyatatue mwenyewe kimyakimya.
2. Marafiki wanatoweka. Kila mtu anakuwa busy na maisha yake
3. Majukumu yanaongezeka
4. Muda unakimbia kwa kasi zaidi.
5. Makosa yanakuwa ya gharama kubwa. Unatambua kwamba huna tena muda wa kufanya majaribio au michezo
6. Ndoto za kufikirika zinafika mwisho. Uhalisia wa maisha unatawala, unatafuta amani zaidi kuliko kitu chochote
Huu Umri unatakiwa kuwa mpole na maisha na kubaki mtulivu katikati ya dhoruba hii yote na kusonga mbele bila kukata Tamaa
Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!