@Thommunkondya Ishu hapo ni ratio, muda huo na kilichofanyika sio proportional. Ni sawa umpe mtu pesa ya kutosha kununua gari yeye akuletee baiskeli halafu anakwambia mbona hata baiskeli hukuwa nayo shukuru tu kwa hicho nilicholeta.
@Jambotv_ Zote ni kelele tu, msingi wa mahitaji yote anayotaka bwana @JonMrema ni REFORMS tu ndio zinaweza kumpatia. Reforms kwanza mengine yatafata, hakuna kuruka stage hapa