@ayubu_madenge@IWillLive_X Dogo ana kipaji kikubwa sana...Alicia kiungo cha Brazil....anapokea mali anafungua space apewe tena mali,hana papara utulivu wa hali ya juu kama kiungo mkomavu...Morocco ina hazina ya silaha za soka.
@SalumuHassanali@kasesco_tz@Alex_komba00 Maisha ya bajaj...noma...kuna kijiwe ukimaliza hilo daraja kuelekea segerea....nilipanga foleni masaa yanasigea tu...ikabidi nianze mdogo mdogo mpaka Mbezi.
@zipdmpjr26 Mbezi hiyo Soko la Magufuli....karibu na Geti la kutokea mabasi Stendi ya Magu....hapo kuna mama ntilie nilikuwa nakula hapo...mbele ya hizo boda...hicho kibanda kuna mtu na boda wanauza chips.