INGEKUWA VIPI......
~Kama tungeamua kuwachafua walio tuchafua...
~Tungeamua kuwaharibia walio tuharibia...
~Kuwaumiza walio tuumiza....
~Ingekuwa vipi tungepanda chuki kwa watu kama walivyopandikiza....
HATUENDESHWI NA HISIA/MIHEMKO TUNATUMIA AKILI ~ Kisasi ni cha MUNGU
Kipi kinakufanya kila siku upambane?
Usiende tu kutafuta pesa bila kuwa na mpango wa namna ya kuitumia.
Hakikisha kila shilingi unayotafuta unajua itafanya nini kabla hujaipata.
Money without a plan is money waiting to be wasted.
Chukua huu mwongozo wa kina wa namna ya kuidhibiti pesa, akili yako na mazingira yanayokuzunguka ili uweze kufikia malengo yako.
Thread🧵
Kwa gharama hizi za maisha kupanda kila siku, mama wa mihogo mtaani wanatusave sana. Elfu moja tu unakula mihogo miwili mitatu ya kushiba, unaendelea na shughuli zako kama kawaida. Mungu awabariki sana hawa mama. ❤️🙏🏾
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Ufike
Utakalo Lifanyike Duniani Kama Mbinguni
Utupe Leo Mkate Wetu Wa Kila Siku
Utusamehe Makosa Yetu
Kama Na Sisi Tunavyowasamehe Waliotukosea
Usitutie Katika Vishawishi
Lakini Utuopoe Maovuni
Amina 🙏🏿🤲🏿.
Hakuna kitu cha thamani kwangu ambacho sitaki kukipoteza kama uhuru
Uhuru wa kiakili, kisaikolojia, kihisia, uhuru wa kujieleza, na zaidi ya yote ni uhuru wa kifedha.
Nimezaliwa kwenye umasikini uliokithiri, hivyo kwangu uhuru wa kifedha ni tumaini langu pekee.
Gm wapambanaji.
TUKO NNJE YA MUDA!!
TUMEINGIA PHASE 2 YA MWAKA.
YANI TUNA MIEZI 6 TU KABLA YA 2026 KUISHA.
HAPA KUNA MAMBO 10 UNAYOTAKIWA KUONDOA KWENYE MAISHA YAKO KUANZIA LEO KAMA UNATAKA KUFANIKIWA NDANI YA HII MIEZI 6 ILIYOBAKI.
THREAD🧵⤵️
Day 148 ⛅📖
"Ndugu, sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele;"
Wafilipi 3:13
Bali mi nakaza mwendo, niifikilie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu.
Bwana Mungu akuangazie nuru ya uso wake na kukupa amani .
Ulinzi wa kiroho na kimwili .
Uzima na afya njema .
Na kubariki bidii yako siku ya leo ikazae matunda 🙏 .
Baba Yetu Uliye Mbinguni
Jina Lako Litukuzwe
Ufalme Wako Ufike
Utakalo Lifanyike Duniani Kama Mbinguni
Utupe Leo Mkate Wetu Wa Kila Siku
Utusamehe Makosa Yetu
Kama Na Sisi Tunavyowasamehe Waliotukosea
Usitutie Katika Vishawishi
Lakini Utuopoe Maovuni
Amina 🙏🏿🤲🏿.
BACK BENCHA nipo maeneo ya maji matitu hapa kuna wazee wanaoongea kwa HISIA sana huku wanatetemeka wanasema kijana vitu vyote ndugu,jamaa na marafiki wanaweza kukusaidia isipokuwa vitu viwili tu UGONJWA na KESI.
nikawauliza wazee sijawaelewa wakasema kijana ukipoteza HELA leo watu watakuchangia kupata HELA ila ukiwa unaumwa hakuna mtu atakuja kusema nipe ugonjwa wako nikusaidie au ukiwa na KESI aseme nipe kesi yako mm nikusaidie afu ww kuwa huru hivyo mtegemee Mungu kwa kila hatua.
Wazee wapo sahihi sana
Mafanikio ya kweli hayahitaji Nguvu za kuanza tu,Bali Moyo wa kusubiri bila kuacha kuendelea.
Muombe MUNGU Kila Siku Akupe
Uvumilivu Ili Usikate Tamaa Katika Utafutaji Wako Maana Mafanikio
Yana Siku Nyingi Sana Za Kusubiri.
Kiwango kimoja cha kumtegemea Mungu ni kumuomba Yeye pekee mahitaji yako yote. Lakini kiwango cha juu zaidi ni kuamini kuwa baada ya kumuomba, Atajibu kwa namna bora zaidi, kwa wakati bora zaidi, kulingana na hekima Yake — si mipango yako.
Kuoa BIKRA ama Mwanamke mwenye body count chache sio sababu ya kutogongewa maisha ya ndoa yana mengi nje ya BOX.
Ishi nae kwa akili na kwenye njia nyoofu maana hata MKATE wenye gharama kubwa uliotengenezwa kwenye ubora wa hali ya JUU ulilowa kwenye maji machafu ya mtaroni ulipoterekezwa bila uangalizi
...
Ulimi wa mwenye haki ni kama fedha teule; Moyo wa mtu mbaya haufai kitu. Midomo ya mwenye haki hulisha watu wengi; Bali wapumbavu hufa kwa kuwa hawana ufahamu.