Pesa ni matokeo ya THAMANI.
Kadri unavyoongeza thamani yako, ndivyo mapato yanaongezeka.
Thamani ni nini.?
1. Kuwa mzalishaji
2. Kutatua matatizo
3. Kuwa na ujuzi unaolipa
4. Kutoa huduma au kuuza bidhaa
Thamani ni kile unachoweza kufanya ambacho watu wengi hawawezi
Kuna mambo yanakurudisha nyuma bila wewe kujua
1. Kujilinganisha na watu kifedha
3. Kutumia pesa ili ufurahishe watu
3. Kutumia pesa yote hadi iishe.
4. Kutumia pesa ili uonekane tajiri (Show off)
5. Kutokuwa na malengo ya kifedha.
Be serious with your financial life
Unataka kubadili maisha yako na kufanikiwa kifedha?
Jambo la kwanza la kubadilisha
-Sio Kazi yako,
-Sio kipato chako,
-Wala sio hali yako ya sasa.
Ni mtazamo wako. It’s MINDSET game!
Ku-shift mindset yako ni jambo la lazima, ili kufanikiwa kifedha
MINDSET
Kuna mifumo ambayo inaku-manipulate sana na kushindwa kuelewa namna ya kujiongoza
Watu wengi, wanashindwa kupangilia vitu vya muhimu kuwa vya kwanza, lakini wao wanapambana na vitu vya pili
Pima mahitaji yako na matamanio kulingana na umuhimu wake
It’s SELF CONTROL game.
Mambo muhimu ya kuzingatia week hii
>Panga malengo ya siku/week
>Weka akiba —> Wekeza
>Linda muda wako
>Jifunze kila siku
>Kuwa na nidhamu
>Acha kulaumu watu
Mafanikio ni matokeo ya ratiba yako, yani yale mambo unayofanya kila siku.
Ilinichukua muda muda sana kuja kujifunza hili 👇
-- Una huduma bora lakini unauza kwa 70K.
-- Mwenye huduma ya kuunga unga anauza 570K.
Nanii Sikia...
>> Biashara ni 90% mindset, na 10% mbinu.
>> Biashara ni imani.
>> Biashara ni exposure.
>> Biashara ni valuation.
>> Biashara ni positioning.
#WEWENIMGODI
Kila siku unapoamka asubuhi sema⬇️
-Nitatumia pesa zangu kwa mpangilio maalumu (kufata Budget)
-Nitaiambia pesa yangu wapi iende, nitazi- control pesa zangu na sio pesa zangu zini-control
Ukiona unakosa UTULIVU yani unapata mapepe na kumuhemuhe mara unapoingiza PESA either mshahara, payday au pesa yoyote ile uliyoitengeneza
Jua una pepo la umasikini, likatae kwa kujiambia maana kuendeshwa na hela zako ni UTUMWA na matokeo ya umasikini.
Good morning ☀️
Jifunze kuingiza $1 kwa kufanya online side hustles kwa kutumia smartphone na bundle pekee.
Nafasi: 100 (zimeisha) naongeza 20
Muda: Usiku
Mahali: WhatsApp group
Malipo: TSh 0.00
Kuanza: February 01
VIGEZO; Like, Repost kisha comment neno MAOKOTO.
Nafasi ni chache Sana,
KUMBUKA Hii Kila Siku.
- Mungu hakuumba binadamu fala.
- Mungu kakuumba binadamu masikini.
- Mungu hakuumba binadamu kizembe.
Hii dunia inaongozwa na sheria za dunia.
Kama kuna watu ni matajiri maana yake iko siri na njia ya kufika.
Kama kuna magwiji, kuna gharama fulani walilipa kufikia huko.
- Acha short cut
- Acha kujidharau
- Acha kuamini kwenye madhaifu yako
-Anza kuamini wewe ni masterpiece ya Mungu
AMINI UNAWEZA.
Tafuta kujua waliofanikiwa walipita wapi.
Na wewe upite humo humo . Simple.
Kama kuna wana wa kawaida tu wameweza,
kwanini wewe unaogopa kujaribu?
Acha Uzuzu.
#WEWENIMGODI
KUWA NA BAJETI
Kuwa na bajeti sio kuwa nayo kichwani, bali ni kuiandika kwa kujua matumizi yako na kutrack expenses
Ni muhimu kuwa na bajeti maana itakusaidia kuishi ndani ya matumizi yako, na kuepukana na matumizi yasiyo ya lazima.
Je una bajeti?
Ukosefu wa nidhamu ndio kitu pekee kinachokuzuia kuwa toleo bora kwako mwenyewe
Ili uwe bora unahitaji kuwa na nidhamu.
Nidhamu ni utayari wa kukubali mambo usiyojisikia kuyafanya kwa ajili ya faida yako ya baadae.
Mwanaume
Punguza kuomba namba za wanawake, na ongeza bidii na juhudi kutafuta watu sahihi na wenye matokeo unayoyataka.
Ambao wamekuzidi mafanikio na maarifa, maana watakutoa eneo la kuridhika na kwenda mbele zaidi
Hakikisha unajifunza kwa watu wenye matokeo unayoyataka.
MAUMIVU kwa MWANAUME ni mtaji
Kukua (growing) kuna maumivu
Mabadiliko (changes) yana maumivu
Lakini hakuna MAUMIVU mabaya kama yale ambayo haupigi hatua
Haijalishi unatembea au unakua tarabibu kiasi gani make sure una move forward.
JITATHIMINI.
Kuna umri ukifika utaanza kukumbuka!
-FURSA ulizoziacha kwa kiona AIBU, hazirudi tena
-MUDA uliopoteza na kushindwa kujifunza hauwezi kurudi tena
-PESA nyingi ulizopata na kushindwa kuwekeza, hutozipata tena.
Muhimu ni kuchukua hatua mapema, kabla ya nyakati ngumu kukufunza.