Imeripotiwa kuwa baadhi ya akinamama wajawazito na ambao tayari wamejifungua katika Kituo cha afya cha Katoro Wilayani Geita, wanalazimika kulala watatu katika kitanda kimoja huku wengine wakizidi kuhatarisha afya zao kwa kulala chini. (Azam TV) #KwanzaHabari
Vitambulisho Vya Wakulima: Kwa akili ya kawaida kabisa inajulikana kuwa nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi. Ili ujue idadi ya wakulima, chukua takwimu za watanzania kisha toa wafanyakazi then unapata idadi ya wakulima. SIMPLE!! Pia mashamba hayasafiri kama Makontena! ๐๐๐๐
Africa is the continent with the youngest population and the oldest rulers. The average age of Africa's presidents is 66 years. Many have just changed the constitution to stay in power. But with increased number of educated urban youth the old guard are getting worried
Una nafasi ya ziada?
Wekeza kwenye #SharedOfficeSpace. Weka meza/viti/shelves safi. Weka huduma za intaneti ya kasi na stationery. Ajiri wasaidizi wa ofisi. Anzisha parking ya @Uber kurahisisha usafiri. Weka @mpesa. Jitangaze kwa NGOs/mashirika/wanataaluma
Ije mvua lije jua...
Kilimo ndio kina future ya wengi. Kwa wasomi na wasio wasomi, wenye uwezo na wasio nao. Mabilionea/mamilionea wajao wa #TANZANIA na #Africa watatoka kwenye kilimo. Tujipange sasa
Heri ya mwaka mpya 2019!
Opportunity is nowhere.
Opportunity is now here.
Opportunities are all around you. Make sure you are focused on now+here, not no+where. You will find what you are looking for.
Dunia inabadirika kutoka kijiji kuwa mji
1950: Watu wengi waliishi vijijini
2007: Idadi ya watu walioishi mijini = Watu walioishi vijijini
2050 (Makadirio):Kwenye nyingi watu wengi wataishi mijini ikilinganisha na wakazi wa vijijini
Chanzo:OurWorldInData
#Globalization