Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam kwa kauli moja wamtaka Spika wa Bunge, Job Ndugai mpaka kufika January 6, 2022 asubuhi saa tatu awe ameshajiuzulu na kukabidhi ofisi maana hatoshi kuendana na kasi ya serikali ya awamu ya sita.
#KitengeUpdates