@Thommunkondya Hizo siasa sizizo na chuki zenye utu na kutofautiana kwa hoja ni zipi?.. hizi hizi za kushindwa kujibu hoja na kubambikia watu kesi za uongo kisa tofauti za kisiasa?.. hizi za kutumia dola kuumiza wale wanaofikiri tofauti na wao ๐ฎ
@godbless_lema Hili naliunga mkono, haiwezekan ibada yako igeuzwe kero kwa watu wengine wasiofanya Ibada.. uhuru na faragha ya kila mmoja iheshimiwe ๐
Kuna kitu cha pekee alichonacho Lissu, nadhani Mungu alimjalia, na anakitendea haki. Kwa kweli, ninatumaini ataishi kuiona Tanganyika au Tanzania ambayo amepigania kwa dhati.