@CosimasMbaba@godbless_lema Hii Kwa upinzani ni faida kwao, kumbuka huyu Ni makamu wa pili anajiuzulu Kwa raisi Yule yule, pia rejea Kwa aliyekuwa Waziri mkuu Majaliwa, Ndugai. Ni dhahiri kwamba huko ndani hakuko sawa na huenda ikawapa faida wapinzani kuwa Yale wanayopigania ni ya kweli.
@YerickoNyerereT Dah! Aisee! Kisa aliwashinda kwenye uchaguzi au nini? Kosa la Lisu ni lipi, kupigania mabadlliko ya kweli ya mifumo ya nchi! Sikia @YerickoNyerereT Kwa haya mnayoyafanya hata mkirudi tena kuongoza chadema hamtaaminika tena! Na Kwa hili Lisu amezidi kuwa shujaa! Muda utaongea.
@MunyNassor@IAMartin_ Hapana ndg wakatoliki siyo wachochezi ila wao wanapoona mambo hayaendi sawa lazima wajitokeze kukemea na kushauri mbona hata Magufuli alisemwa Sana na hao wakatoliki. Tusifiche uovu Kupitia dini. Shida ni kwamba watawala hawataki kuambiwa ukweli wanpokosea ili wajisahihishe
@YerickoNyerereT Huo msimamo wa CHADEMA na ACT ndo msimamo wa watanzania sasa sijui hao watanzania unaowaambia ni wa wawapi!!! After all wewe ndo wanakuona hamnazo
@rkerage17@YerickoNyerereT Aisee huyu jamaa ni wa hovyo kabisa! Lkn zote hizi Ni dalili za wivu tu! Huyu anaumia Sana kuona chama kinazidi kuimarika Ni tofauti na matarajio yake. Itoshe kumwambia hao anaowaita wanaharakati uchwara ndo wanakubalika Sana na wanamvuto Kwa jamii kuliko anavyodhania
@YerickoNyerereT Brother unahangaika sana! Ila utamu wa hili Jambo hata hao mnaopambana muwaangushie jumba bovu wako mbele ya muda Sana na walivyo na watu smart na makini naona kuna aibu inakuja, hakuna kitu kinafurahisha kama kuona mtu anafurukuta we halafu unajua atakuja kuishia hapa.
@Shasilanabipa Chombo haijaelemewa ila kuna watu wanajitahidi kutengeneza mawimbi kutaka kukizamisha lkn wapi, ukweli ni kwamba chombo iko imara zaidi ya Jana. Vyombo vilivyoelemewa ni vile 16 hiki bado kinakata mawimbi mpk nahodha wa kile chombo kingine haamini anachokiona.
@Wutangtz@MariaSTsehai Hapo usikute walishakamilisha na kuikabidhi lkn mzani bado umeinamia mashariki hivyo wamepewa siku 21 ili waforce mzani uegemee magharibi
@kibiki001 Huyu jamaa aliamini kuwa CHADEMA Bila Mbowe itakufa so haamini na inamuumiza Sana kuona bado chama kipo imara zaidi na kinamvuto kwa watanzania wengi japo kinapita kwenye moto so Kwa kuona hilo sasa hv amechagua kueneza propaganda ili CHADEMA ifutwe Jambo ambalo haliwezekani.
@muniydrik@DrCyrilo Kaka huenda ikawa ni kweli lkn binafsi natamani chadema waingie madarakani ili tuone na wao mawazo Yao yatasaidiaje nchi yetu. Kwa rasilimali tulizonazo Tanzania
hatukupaswa kuwa hapa tulipo.
UKIAMKA...!
1. Kunywa Glass 1-2 za Maji Asubuhi hii, Fanya hivyo Kwa Ajili ya Vital organs zako ๐ซ!
2. Pata Angalau dk 15-30 za Mazoezi ya Asubuhi, KEGEL ni MUHIMU zaidi Kwa Mwanaume!
3. Oga Maji Baridi (Zingatia mazingira na sehemu iliyopo).
4. "Kaa Mbalii" na Sukari Nyingi.
5. Kula Angalau yai ๐ฅ 1 Leo Kwa Ajili ya Moyo na Ubongo ๐ง .
6. Pata Muda wa Kuyafurahia Maisha Yako na mafanikio uliyopata, hata kama ni kidogo na Kwa kufanya Hivyo utailinda Afya yako ya Akili ๐ง .
7. Hakikisha unapata Mboga za Majani Kwa Ajili ya Kuimarisha Kinga Yako ya Mwili.
8. Usikae sehemu moja kwa Masaa au muda mrefu, inuka jinyooshe, tembea, Utauokoa uti wako wa mgongo!
9. Pata Muda wa Kupumzika, Ni nzuri Kwa Afya yako ya Akili.
10. Like & Repost ili iwafikie na Kuwasaidia Wengine ๐
@Mr_ungando @kadabla88 @JayleenRickie Nasi wanafunzi, tukafanikiwe, kazi ilotuleta tuifanikishe, nidhamu na utii viwe ni silaha, Kwa juhudi maarifa tutafanikiwaaaaaaaaa
@Sirjeff_D Ha haaaa haaaaaa! Any way ila kwenye list yako umeiacha Chidya Boys Sec. Mi nimesoma Chidya Kisha Ndanda High school but Chidya kwangu ni best na kila aliyepita hapo atakwambia pale ni best kutokana na lifestyle ya aina yake kbs.